Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

Subiri lile jinga la Tarime lije
 
Mbowe alijitia ana kiburi Magufuli akamuonyesha jeuri. Mbona kina mbatia, lipumba, hashim rungwe na maalim seif walikutana na Magufuli tena ikulu. Nenda kagoogle uone.
 
Mbowe alijitia ana kiburi Magufuli akamuonyesha jeuri. Mbona kina mbatia, lipumba, hashim rungwe na maalim seif walikutana na Magufuli tena ikulu. Nenda kagoogle uone.
Lini Hashimu Rungwe alikutana na Magufuli Ikulu?

Hivi unamjua Hashimu Rungwe wewe?

Yule Mwamba aliamua kusimama na CHADEMA, Magufuli akamchukia na kutaka kumuangamiza.
 
Kukutana hawa huwa wanakutana sana wakiwa bungeni sema hapa wamekutana kiofisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…