Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

Mbowe amekuwa katibu mwenezi wa CCM tawi la Ufipa. Wafuasi wake nao wanaimba CCM mbele kwa mbele.
 
Sasa wanavyokutana hivyo bila kutuambia sisi wananchi wana maana gani??
Wewe ukikutana na mtu huwa unatuambia sisi wananchi wenzako heri yao wao wametupia hata picha
 
Mbowe alijitia ana kiburi Magufuli akamuonyesha jeuri. Mbona kina mbatia, lipumba, hashim rungwe na maalim seif walikutana na Magufuli tena ikulu. Nenda kagoogle uone.
Sasa huyo aliyewaonyesha wenzie kiburi leo yupo wapi??!
 
Siasa bhana,niishie tu hapo.
Je wajua?

Yule alieitwa Gaidi, hawakusubiri hata AOGE Kutoa nuksi ya JELA,

Alipotoka moja Kwa moja Hadi Jumba Jeupe, hata nguo mpya naamini alipewa akiwa kule kule.

Tujifunze,KUTOOGOPA ikiwa tunasimamia HAKI. Amen
 
Hizi picha zinampa Jiwe joto Kali Sana huko mwandani.
 
Lini Hashimu Rungwe alikutana na Magufuli Ikulu?
Hivi unamjua Hashimu Rungwe wewe?
Yule Mwamba aliamua kusimama na CHADEMA, Magufuli akamchukia na kutaka kumuangamiza.

Kama rungwe alisimama na chadema sasaivi tayari chadema wamesimama na ccm kahiyo na huyo rungwe atasimama pia na viongozi wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…