Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2288941View attachment 2288943
Hatauyo dj ni mnafiki tu, the time still talking.Tatizo Ccm ni wanafiki mno
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2288941View attachment 2288943
Jamaa wanamuita muongo sana lakini wanachekelea leo kukutana nae. Bongo hakuna chama cha upinzani ni porojo tu.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2288941View attachment 2288943
Nyie mazombie ya Magu ndiyo mlizoezwa kula makombo yake ndiyo maana kila siki mnatupigia kelele juu hilo zimwi lenu. Sisi tumeshazoea kuishi kwa kujitegemea lakini nyie mnaoishi kwa kujibebisha kwa viongozi mnapata tabu sana.Hivi hiyo asali anayoramba Mbowe hadi nyie misukule yake inawafikia? Au mnaishia kupiga miayo tu
Ni mzima wa afya anachapa kazi.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2288941View attachment 2288943
Mkuu wenye nchi ni ccm na wanaowafukuza ni ccm.WAMASAI wamehamishwa Mh Mbowe Ukiwa kimya kabsa.
Kwan maridhiano hayo ni ya kisiasa tu hayahusiani na maisha ya wananchi wa chini maskini?
Ukimya tafsiri yake ni:Mkuu wenye nchi ni ccm na wanaowafukuza ni ccm.
Peleka lawama kwa ccm
Wameipende wenyewe ndindi....wacha waisome nambaaeeee!!!Ukimya tafsiri yake ni:
1. Sijui.
2. Nakubaliana nao ktk wayafanyayo.
3. Watajijua wenyewe.
4. Nk.....................
Walongea nini?Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2288941View attachment 2288943
Ukimya tafsiri yake ni:mbowe amewahamisha si walichagua mbunge na madiwani wa ccm waambie wawatete
Wanafurahi yule nduli muuaji hayupo tena, Maandiko yanasema mtu muovu atawalapo watu huugua.Hivi huwa wanacheka nini? kila mtu akikutana na viongozi wakubwa wa nchi lazima wapige picha wanacheka