Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh teh,Madilu......Tusubirie ya singida united cheo kilivyo yeyuka na mafanikio yakasepa
In God we trust
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh,Madilu......Tusubirie ya singida united cheo kilivyo yeyuka na mafanikio yakasepa
In God we trust
Kwani umekasirika???Mada inahusu michezo halafu NYUMBU anaingiza ungese humu@#$$€£¥
WATANZANIA walivyowanafiki,marefa wanataka kumfurahisha waziri mkuu.Kwa ninavyolijua Soka la Bongo hasa kwasasa chini ya huyo Msomali ,Majimaji aandike maumivu tuu hapo kashafungwa kabla match haijaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewalipia viingilio mashabiki wa soka katika jimbo hilo kwaajili ya kushuhudia mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza kati ya Namungo FC dhidi Majimaji FC.
Mchezo huo muhimu kwa kila timu katika mbio za kupanda daraja, utapigwa leo saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani humo.
Mchezo huo utaambatana na hafla ya Namungo FC kukabidhiwa basi jipya ambalo limetolewa na wadau wa soka mkoani Lindi kwa kushirikiana na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa.
Kukabidhiwa kwa basi hilo (pichani) sasa kunaifanya Namungo FC sasa iwe na mabasi mawili.
Naonea huruma wana lizombe masikiniKwa ninavyolijua Soka la Bongo hasa kwasasa chini ya huyo Msomali ,Majimaji aandike maumivu tuu hapo kashafungwa kabla match haijaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati hata kuwajua hawajui na wala hawana sifa ya kupatiwa uteuziWATANZANIA walivyowanafiki,marefa wanataka kumfurahisha waziri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sina uhakika lakini nililiona likiwa linatoka bandariniVipi watu wa TRA walihusika ipasavyo?
In God we trust
I see!!!Ndiyo ujue kuwa sera za ccm siku hizi ni matusi na mikurupuko
In God we trust
Heri ingekuwa utashi wa marefa,watapewa maagizo kutoka juu wahakikishe Namungo inashinda hii match.WATANZANIA walivyowanafiki,marefa wanataka kumfurahisha waziri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ingekuwa utashi wa marefa,watapewa maagizo kutoka juu wahakikishe Namungo inashinda hii match.
Sent using Jamii Forums mobile app
anasemaje kuhusu korosho??
Akikujibu unitaganasemaje kuhusu korosho??