Waziri Mkuu Majaliwa anawaangalia kama hawaoni vile ila anipiga kazi sana

Waziri Mkuu Majaliwa anawaangalia kama hawaoni vile ila anipiga kazi sana

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana

Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!!
May be one day nitafufua uzi huu mwaka 2030 Mungu atuweke ,

Wewe na Hussein Mwinyi mnakubalika zaidi ya wale wanaolazimisha kukubalika!!

Kama si weee basi ni Hussein na itakuwa mwanzo wa kufuta Utaratibu wa Mkristo kwa Muislamu kupokezana!!!

Britanicca
 
Sina mashaka kabisa na PM wetu, Mungu amuepushe na hila zote mbaya na amuweke salama.
 
Tatizo la pm wa cuba ni muongo sana tuliambiwa mwendazake yuko vizuri anachapa kaz hiyo ndo shida yake haaminik
 
Tatizo la pm wa cuba ni muongo sana tuliambiwa mwendazake yuko vizuri anachapa kaz hiyo ndo shida yake haaminik
Nyie makenge mmeng'ang'ania kauli za namna hyo kila sku , haya muwekeni makamba wenu , hii nchi ni majaliwa na mwinyi na Kwa mbali bashe ndo wenye fikra za kuona mbali .. angalau Kwa 50 % wengine hao ni magarasa tupu
 
Basi nchi hii kila Mtanzania mwenye sifa za kikatiba anaweza na "anafaa" kuwa "rahisi".
 
Back
Top Bottom