britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nyie makenge mmeng'ang'ania kauli za namna hyo kila sku , haya muwekeni makamba wenu , hii nchi ni majaliwa na mwinyi na Kwa mbali bashe ndo wenye fikra za kuona mbali .. angalau Kwa 50 % wengine hao ni magarasa tupuTatizo la pm wa cuba ni muongo sana tuliambiwa mwendazake yuko vizuri anachapa kaz hiyo ndo shida yake haaminik