Waziri Mkuu Majaliwa: Atakeyeonea waandishi wa habari kukiona

Kumbe mkiwa na Rais mzuri hata watendaji wa chini wnakuwa Poa. Ona Katelephone anaanza kuwa malaika baada ya kuwa shetani miaka mitano iliyopita.
 
Reactions: BAK
Huyu Bwana Mkubwa akikwambia kuwa kumepambanzuka nje, huna budi kutoka ujiridhishe kuwa kweli jua limetoka. Tofauti na hapo si wa kumuamini hata chembe. Hakawii kusema kaongea na marehemu na anatusalimia sana.
alinifulahisha ile siku magu kukata kamba kabla ya kutangaza watu chini chini walikuwa wanasema mzee kakata kamba sasa huyu namungo gang akasema chato gang yupo ofisini na anaendelea na kazi kumbe wamemuweka monchwari
 
Reactions: BAK
Bulesi njoo umuone mnafiki mwingine
 
Mtu mmoja, hayati Magufuli, kwa kuwatumia wasiojielewa, aliiharibu nchi. Vivyo hivyo, mtu mmoja, Samia, kwa kuwqtumia wasiojielewa, ataiponya nchi.
 
Huyu si ndiyo aliwaambia wananchi ,Mwendazake mzima wa afya njema mnata azurule Kariakoo ndiyo mjue yupo.

Sijawahi amini huyu jamaa asemacho.

Angeanza kwanza kuitisha uchunguzi wa Mwanahabari aliyepotea ,Azory Gwanda ili wanahabari waweze kumuelewa vizuri.
 
Azori Gwanda yuko wapi? Aanze kwa kuhakikisha ukweli kuhusu 'kupotea' kwake unawekwa wazi. Familia yake wajue kama yuko hai au la, na warudishiwe mtu wao!
 
Haaminiki huyu. Si ndo alitudanganya kuwa JPM alikuwa mzima na ameongea naye kumbe wakati huo alikuwa hoi au tayari alimwisha- rip. Tangu siku hiyo simwamini.
Huwezi kutoa kauli kama hii wakati sheria za habari ni kandamizi.Yaani anatoa kauli kama hii wakati walishatunga sheria kandamizi dhidi ya waandishi wa habari.
 
Hii ni habari mbaya kwa wasukuma
 
Wakwanza ni Mbuzi kwa kukosa aibu wapili ni Majaliwa
 
sio tu nje hata ndani ya taasisi na idara za serikali kuna uonevu mkubwa unao endelea ndani kwa ndani baadhi ya viongozi wana tabia za kuwaaonea na kuwa kandamiza walio chini yao kwa chuki binafsi, jambo hili linawavunja na kuwakatisha tamaa watumishi waadilifu na wenye nia ya kuitumikia nchi yao.

uonevu wa ndani kwa ndani pia unapunguza ufanisi ktk utendaji wa kazi.

uonevu wa mdani kwa ndani ya taasisi za serikali na idara upo na unawaumiza sana watumishi wasio na godfather, waziri husika fuatilia jambo hili ili kurudisha ari ya watumishi
 
Ili uweze ku survive kwenye siasa za nchii hii..lazima ujifunze kuwa mnafiki narudia tena lazima uende kozi ya unafiki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…