Waziri Mkuu Majaliwa: Atakeyeonea waandishi wa habari kukiona

He leo anaongea haya!!! Kweli ukistaajabu ya musa!!!!
 
Majaliwa amepata wapi hekima hizi?! Mbona hakuwa nazo wakati wa yule mtu?
 
Matamko kama haya yanashangiliwa bila kuangalia undani wake. Wanahabari siyo kundi maalumu linaloonewa kila wakati. PM ansatahili kusema atakayewaonea wananchi, siyo waandishi wa habari tu. Siku nyingine watakuja wafugaji, nao watasemewa taarifa ya kutowaonea. Watakuja wavuvi, watakuja wakata mkaa, ........ Mbona Ulimboka aliumizwa Pinda akasema wapigwe tu!

Kumekuwa na mtindo wa kujitetea kimakundi bila sababu! Kuna kipindi wanasheria ilikuwa hivyo hivyo, Clouds ilipotembelewa na Makonda naowakataka kulindana kimakundi Why?
 
The weak prime minister in the world.

Kipindi Jiwe anaua waandishi wa habari huyu mbona hakuwahi kukemea?
Nani aliuwawa? Mbona akili mbovu hivyo? Mwangosi aliuwawa na nani, utawala wa nani? Kibanda aliumizwa jicho na nani, utawala wa nani?
 
Tanzania daima irudi iwakimbizee maana ilikua halifiki saa 3 limekwisha vile vipeperushi nimuda wao wakupotea sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…