johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yote Tisa kumi tunaitaji kuona viwanda elfu nne mlipovijenga na mil 50 kila kijiji , mambo mengine ayatuhusu .
Wamepona mfano mzuri Piere wa Keko!Wengine wameenda wapi bwashee
Na yule aliyepelekwa Kairuki jana ambaye PM na mtandao wake wote bado hajafahamu? Yani kukaa Dodoma basi ndo akae kiporipori asijue mambo ya mjini? Yule vipi? Naye amepona au?Wamepona mfano mzuri Piere wa Keko!
Meambiwa hizo hospitali nyingine hazina wagonjwa..... Uwe unaelewa bwashee!Na yule aliyepelekwa Kairuki jana ambaye PM na mtandao wake wote bado hajafahamu? Yani kukaa Dodoma basi ndo akae kiporipori asijue mambo ya mjini? Yule vipi? Naye amepona au?
Sasa bwashee nitamuamini vipi kama tu jana Hassan Abbas kapeleka vyombo vyote vya habari chaka kwa ku post ndege hewa? Huyu naye muongo tu maana naongea nina uhakika na taatifa zangu bwashee. Huko kambini wamejaa waongo na wapotoshaji ndiyo maana siwasikilizi hata habari zao siwezi kunukuu bwashee.U
Meambiwa hizo hospitali nyingine hazina wagonjwa..... Uwe unaelewa bwashee!
Akiongea baada ya swala ya Eid jijini Dodoma waziri mkuu mh Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua sana nchini.
Amesema hadi leo asubuhi taarifa alizonazo hospitali nyingi hazina wagonjwa na chache zilizobaki wagonjwa wamepungua sana
Kwa mfano Amana mgonjwa 1, Mloganzila 1, Agakhan 11, Kibaha 13 na Dodoma kuna wagonjwa 3.
Na wagonjwa wote wana hali nzuri wanasubiri kuruhusiwa kasoro Agakhan wagonjwa 4 bado wako katika uangalizi.
Pamoja na yote mh Majaliwa amewataka watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuvaa barakoa.
Source Upendo tv habari!
Sisi wakatoliki tunaendelea kuchukua tahadhari!Bwashee kwn hujakwenda ktk bonanza aliloandaa Bashite?Hyo korona mbna imekwisha zaman tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wakatoliki tunaendelea kuchukua tahadhari!
Ajabu tunaambiwa waliobaki hospitali. Je walikuwa wangapi? Na kweli kabisa kwamba hakuna wanaoambukizwa sasa! Mungu anatupenda kwelikweli.
Duh! Huo kweli ulikuwa mtihani.Nisaidieni kumshukuru Mungu. Mjomba wangu Deo, alipata Covid akapambana akapona, bahati mbaya sana mke wake aliyekuwa na ujauzito wa wiki 36 alipata maambukizi. Tarehe 1 mwezi huu alizidiwa na mjomba alizunguka naye kwa masaa 12 akikataliwa kupokelewa kwenye hospitali 6 Dsm. Deo ni mfanyabiasha mdogo sana lakini ameishika sana imani yake. Dakika za mwisho aliamua kwenda Agakhan kujaribu tu, maana pale hupokelewa watu maalum.
Kwa muujiza alipokelewa mkewe akiwa na hali mbaya sana. Kesho yake alifanyiwa operation mtoto akatolewa akiwa mzima. Mama alizidiwa na akakaa ICU kwenye ventilator kwa wiki mbili. Hatimae leo ameruhusiwa kutoka hospitali. Deo ni mtu wa kujitoa sana kwa watu. Bill ilikaribia 40m imechangwa na jamaa na marafiki kupitia group la whatsup alililianzisha.
*Utukufu, Heshima, Mamlaka na Adhama zina wewe MUNGU*
Kwa maana hiyo hakuna maambukizi mapya kabisa, kwa mwelekeo huo shule zifunguliwe tu, hakuna haja ya watoto kuendelea kukaa nyumbani wakati corona ni kama imeisha.Wamepona mfano mzuri Piere wa Keko!