Unaweza fafanua kwa nini France-Afrique inafaa lakini Russia-Africa hafai?Scramble for Africa. Siku hizi wamekuja na Russia-Africa,China-Africa.,France-Afrique,Japan-Africa.
Kati ya hao Russia na China hawafai kabisa.
Unaweza fafanua kwa nini France-Afrique inafaa lakini Russia-Africa hafai?
Huyu ni mwelewa wa mambo ila hapo sijafahamu ametumia muktadha upi kuona France ni bora kuliko Russia.Amelishwa propaganda pamoja na exposure ndogo ya geo-politics...
Russia maskini tu, hana la kuisaidia Africa, lini ktk akili zenu ulisikia msaada wa Russia? Raia tu wa Russia ni maskini wengi sana, so haiwezi saidia Africa.. Just like China, lini ulisikia China inaisaidia Africa? Wote hali zao zinalingana, ni maskini raia wake, hivyo wawasaidie watu wao kwanza..
Russia hajali wananchi wake kweli atajali wananchi wa Africa ? Hakuna demokrasia Russia,hawana utu.Charity starts at home.Unaweza fafanua kwa nini France-Afrique inafaa lakini Russia-Africa hafai?
Good!Unaweza fafanua kwa nini France-Afrique inafaa lakini Russia-Africa hafai?
sawaWaziri mkuu mh Majaliwa ameelekea nchini Urusi ambako atamwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa viongozi wakuu wa Urusi na wale wa Afrika.
Waziri mkuu atapata fursa ya kuzungumza na Rais Putin atakapokuwa nchini humo.
Chanzo: Channel ten!
Ni kweli Urusi haijali wananchi wake? Utatumiaje kigezo cha Ufaransa kupenda wananchi wake kama kipimo cha kupenda Waafrika? Kumbuka hapa tunaongelea manufaa ya bara la Afrika na siyo maslahi ya Waafrika wachache wanaoishi ulaya.Russia hajali wananchi wake kweli atajali wananchi wa Africa ? Hakuna demokrasia Russia,hawana utu.Charity starts at home.
Kwan si alitakiwa aende why hajaendaHahahaaa....... Siasa ni sayansi bwashee...... Kigogo mburahati chaliii!
Scramble for Africa. Siku hizi wamekuja na Russia-Africa,China-Africa.,France-Afrique,Japan-Africa.
Kati ya hao Russia na China hawafai kabisa.
Wewe ulitaka vipi?Ikulu ya Dar-es-salaam ni State House yenye hadhi na Historia ndefu.Zimefika Mkuu. Nawewe Msalimie Mh Stone hapo Magogoni. Halafu kwanini amezidi na Uwongo? Alisema kahamia kwa Wagogo, ajabu bado yupo Magogoni.
Msalimie magufuli hapo RuangwaHahahaaa..... hahahaaa...... msalimie Kigogo hapo Ufipa!
China na Urusi hutoa pesa CCM za kufanyia uchakachuaji mara nyingi misaada yao huwa ya siri kubwa ingawa China husaidia Tanzania kwa uwazi na kwa siri pia, mzee kinana alikula pesa zao nyingi uchaguzi uliopita.Russia maskini tu, hana la kuisaidia Africa, lini ktk akili zenu ulisikia msaada wa Russia? Raia tu wa Russia ni maskini wengi sana, so haiwezi saidia Africa.. Just like China, lini ulisikia China inaisaidia Africa? Wote hali zao zinalingana, ni maskini raia wake, hivyo wawasaidie watu wao kwanza..
Wanataka mfumo wa vyama vingi ufutwe nchini Tanzania watatoa pesa nyingi kudhoofisha vyama vya upinzaniScramble for Africa. Siku hizi wamekuja na Russia-Africa,China-Africa.,France-Afrique,Japan-Africa.
Kati ya hao Russia na China hawafai kabisa.
Wanakuja kuwekeza lakini wanataka CCM ibakie chama pekee kama China kisha Rais anakuwa wa milele mpaka kifo au akizeeka sana mpaka kutembelea mkongojo kama Zimbabwe.Africa habari ingine kila taifa kubwa lataka wekeza uku.
Yatupasa kuwa makini maana yajayo yasije kuwa ya manufaa ya wacahache bali taifa kwa ujumla wake.
Waafrika walio wengi walisomeshwa na USSR na sio Russia. USSR haipo tena ilivunjika.Ni kweli Urusi haijali wananchi wake? Utatumiaje kigezo cha Ufaransa kupenda wananchi wake kama kipimo cha kupenda Waafrika? Kumbuka hapa tunaongelea manufaa ya bara la Afrika na siyo maslahi ya Waafrika wachache wanaoishi ulaya.
Kilichompata Arikana Chihombori baada ya kuipigia tarumbeta dunia jinsi ufaransa inavyozinyonya nchi za francophone, wote tunafahamu. Thomas Sankara baada ya kuhoji utegemezi wa nchi yake kwa Ufaransa, tunajua kilichomtokea. Vita isiyoisha kwenye nchi za francophone ni kwasababu ya Ufaransa kuweka michafuko ili iendelee kunyonya.
Ni mabaya gani yaliyofanywa na Warusi zaidi ya kusaidi kuondoa ukoloni Afrika na kusomesha wasomi kadhaa?
Hivi warusi hawa wa sasa na wale wa USSR wanaongea lugha gani?Waafrika walio wengi walisomeshwa na USSR na sio Russia. USSR haipo tena ilivunjika.
Wana mentality nyingine.Hivi warusi hawa wa sasa na wale wa USSR wanaongea lugha gani?