Waziri Mkuu Majaliwa kumwakilisha Rais Magufuli nchini Urusi

Russia maskini tu, hana la kuisaidia Africa, lini ktk akili zenu ulisikia msaada wa Russia? Raia tu wa Russia ni maskini wengi sana, so haiwezi saidia Africa.. Just like China, lini ulisikia China inaisaidia Africa? Wote hali zao zinalingana, ni maskini raia wake, hivyo wawasaidie watu wao kwanza..
Mnasaidiwa na magharibi lakini mkishika vipaza mnawatukana..
 
​

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Kampuni ya Sinara Transport Machinary kwenye hoteli ya Marriot, Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019 . Picha kwa hisani ya blog Ofisi ya Waziri Mkuu.
More info :
Sinara - Transport Machines JSC (STM) is a Russian machine-building holding in the field of transport engineering. The company is a leading manufacturer in the market of transport engineering of the Russian Federation in the following segments: electric locomotive building, diesel locomotive building, track maintenance vehicle building, and engine building. STM combines scientific-technical and production potential of eight Russian companies in the developing, engineering, manufacturing and service.

  • Established in 2007
  • Amount of enterprises – 8 plants
  • Staff – more than 20 000 people
  • Headquarters – Yekaterinburg

Sinara Group ni kampuni kubwa ya Russia kwa habari zaidi za shughuli za kampuni hiyo gonga : New agreement will see the creation of a rolling stock engineering centre
 
​

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Kampuni ya Sinara Transport Machinary kwenye hoteli ya Marriot, Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019
Sinara - Transport Machines JSC (STM) is a Russian machine-building holding in the field of transport engineering. The company is a leading manufacturer in the market of transport engineering of the Russian Federation in the following segments: electric locomotive building, diesel locomotive building, track maintenance vehicle building, and engine building. STM combines scientific-technical and production potential of eight Russian companies in the developing, engineering, manufacturing and service.
  • Established in 2007
  • Amount of enterprises – 8 plants
  • Staff – more than 20 000 people
  • Headquarters – Yekaterinburg

Sinara Group ni kampuni kubwa ya Russia kwa habari zaidi za shughuli za kampuni hiyo gonga : New agreement will see the creation of a rolling stock engineering centre
Kwani huyo Ndio Putini
 
October 23, 2019
Sochi, Russia

Leo ni siku ya kongamano la biashara la Russia Africa Business forum

Kesho 24 October 2019 ndiyo kikao cha Russia Africa Summit Sochi, Russia

22 Oct 2019
President Museveni on Tuesday left the country for the first Russia-Africa Summit which kicks off tomorrow (Wednesday) at Sochi-Black Sea Resort City with 50 African heads of state expected to attend. The summit is billed as the strongest signal yet that Moscow is stepping up its game in Africa. The Summit which will focus on actual and potential relations between Russia and African nations in the political, economic, humanitarian, and cultural fields among others will be co-chaired by Russian President Vladimir Putin and Egyptian President, who is also the African Union Chairman, Abdel Fattah el-Sisi. In an interview with TASS News Agency, Russian president Vladimir Putin explains his country’s strategy for Africa in the 21st Century.
 
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Russian Railways, Bw. Alexander Misharin na kumweleza kuwa Tanzania inahitaji sana kuimarisha usafiri wa ndani wa reli hasa katika Majiji ya Dar es salaam, Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya na Tanga.
Amesema kampuni hiyo yenye uwezo mkubwa wa kujenga reli mpya, kukarabati reli, kutengeneza injini za treni na mabehewa pamoja na ukarabati wake inahitajika sana nchini ili kufanikisha mpango wa Serikali wa kuimarisha reli za zamani za TAZARA, Reli ya Kati na kufugua reli ya Kaskazini inayounganisha mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Waziri Mkuu alizungumza na Mkurugenzi huo jana (Oktoba 22, 2019) kwenye hoteli ya Marriot iliyopo Sochi nchini Urusi, ambapo alitumia fursa hiyo kuikaribisha kampuni ya Russian Railways kuwekeza nchini hususani katika sekta ya ujenzi, ufundi na mafunzo ikishirikiana na makampuni ya Watanzania.
Source : Blog Ofisi ya Waziri Mkuu.
 
Julius Nyerere on poverty :

Julius Nyerere - President of Tanzania talks about how wealthy North people talk like poor people, and about standard of living going up meaning they regard themselves as poor; that, until this attitude changes, the rich world will not help the poor South world.
 
October 20, 2019

The Russia–Africa Summit · Economic Forum | 23–24 October 2019 | Sirius ...
Pace of Russian and African Business Development to Be Discussed at Russia–Africa Economic Forum in Sochi. ... GREETING TO PARTICIPANTS, ORGANIZERS, AND GUESTS OF THE RUSSIA–AFRICA ECONOMIC FORUM FROM PRESIDENT OF THE RUSSIAN FEDERATION VLADIMIR PUTIN. ... The Russia–Africa Summit, which.....source:
Саммит · Экономический форум Россия-Африка | 23–24 октября 2019 года | Парк науки и искусства «Сириус» г. Сочи ›

Hii nafasi ilitakiwa balozi namba moja wa Tanzania aende mwenyewe.

Nchi hizi kubwa zote zinataka kuweka ushawishi wao wa kibeberu Africa mfano juzi tu kulikuwa na China Africa Summit, Japan Africa Summit. ....
Ngeli baba ngeli acha tu
 
Uhuru Kenyatta yupo Tokyo Japan
Kupatwa kwa mamlaka Tanzania (KUMATA) YANI MKULU WETU AMESHINDWA KABISA KUTOKA DAAAAAAH NGELI JAMANI NGELIIIII INATUAIBISHA UKUBWANI MLIOKO MAVYUONI MNALAKUJIFUNZA
 
Julius Nyerere on poverty :

Julius Nyerere - President of Tanzania talks about how wealthy North people talk like poor people, and about standard of living going up meaning they regard themselves as poor; that, until this attitude changes, the rich world will not help the poor South world.
Huyu mtu alikuwa sio wa kawaida ukimlinganisha na viongozi wengine wengine wa kiafrika. Alikuwa anawajua hawa mabeberu kuliko wanajijuavyo.
 
Zisiishie kuwa stori tu...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Russian Railways, Bw. Alexander Misharin na kumweleza kuwa Tanzania inahitaji sana kuimarisha usafiri wa ndani wa reli hasa katika Majiji ya Dar es salaam, Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya na Tanga.
Amesema kampuni hiyo yenye uwezo mkubwa wa kujenga reli mpya, kukarabati reli, kutengeneza injini za treni na mabehewa pamoja na ukarabati wake inahitajika sana nchini ili kufanikisha mpango wa Serikali wa kuimarisha reli za zamani za TAZARA, Reli ya Kati na kufugua reli ya Kaskazini inayounganisha mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Waziri Mkuu alizungumza na Mkurugenzi huo jana (Oktoba 22, 2019) kwenye hoteli ya Marriot iliyopo Sochi nchini Urusi, ambapo alitumia fursa hiyo kuikaribisha kampuni ya Russian Railways kuwekeza nchini hususani katika sekta ya ujenzi, ufundi na mafunzo ikishirikiana na makampuni ya Watanzania.
Source : Blog Ofisi ya Waziri Mkuu.
 
October 23, 2019
Sochi, Russia

Leo ni siku ya kongamano la biashara la Russia Africa Business forum

Kesho 24 October 2019 ndiyo kikao cha Russia Africa Summit Sochi, Russia

22 Oct 2019
President Museveni on Tuesday left the country for the first Russia-Africa Summit which kicks off tomorrow (Wednesday) at Sochi-Black Sea Resort City with 50 African heads of state expected to attend. The summit is billed as the strongest signal yet that Moscow is stepping up its game in Africa. The Summit which will focus on actual and potential relations between Russia and African nations in the political, economic, humanitarian, and cultural fields among others will be co-chaired by Russian President Vladimir Putin and Egyptian President, who is also the African Union Chairman, Abdel Fattah el-Sisi. In an interview with TASS News Agency, Russian president Vladimir Putin explains his country’s strategy for Africa in the 21st Century.
Our bumbling galoot should be there and not his representative, other countries are represented by their head of States coz they know our important this summit is for economic welfare of their people. I don't wanna believe if his absence there has to do with his oratorical inability in apparently used language.
 
October 23, 2019
Sochi, Russia
Russia Africa Summit 2019
Mhe. Paul Kagame Rais wa Rwanda , Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Tanzania na viongozi wengine wakutana na Vladimir Putin katika kikao-kazi-mlo cha mkutano wa Russia Africa Summit 2019 mjini Sochi Russia

Source : Paul Kagame
 
October 24, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Russia, Vladimir Putin kabla ya kuanza kwa Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika, Sochi nchini Urusi, Oktoba 24, 2019. Source :blog Ofisi ya Waziri Mkuu.
 
Moja ya ushauri ambao magufuli alishauriwa nakuuelewa nikutosafiri nje ya Afrika nabaadhi ya nchi za afrika....mana pengine tungekua tushamsahau
 
Back
Top Bottom