kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Mbona sikuelewi, tunajadili mustakabali wa watumishi wa umma.
Wezi wa kura huwa hawajali wananchi maana hawako madarakani kwa ridhaa ya wananchi, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi.Mkuu masuala ya wizi wa kura yanatoka wapi?
Tuliza akili Kamanda,tunajadili mustakabali wa taifa letu,watishi wa umma ni muhimu kuongezwa mishahara. Huyo unaemuuliza ni haki yake pia kuchangia japokuwa unaleta fitina za kiswahili kama mchawi.Nimeiuliza ile Id yako nyingine naona unajibu na hii! Au ni haraka ya kujibu?
Mleta mada hajadili masuala ya wizi wa kura.
Kwamba Ccm haikuchaguliwa na wananchi? Ndio sababu haiongezi mishahara? Mbona Jakaya,Mkapa (Rip) Mwinyi na JKN waliongeza mishahara?Nasema haya matatizo ni matokeo ya watu kuingia madarakani bila ridhaa ya wananchi.
Tuliza akili Kamanda,tunajadili mustakabali wa taifa letu,watishi wa umma ni muhimu kuongezwa mishahara. Huyo unaemuuliza ni haki yake pia kuchangia japokuwa unaleta fitina za kiswahili kama mchawi.
Ahaaaa.Lazima nizivuruge hizi Id zilizokuwa zinawashabikia wezi wa kura, kisha saa hii wananchi wanateswa na hao wezi wa kura, halafu zinajifanya kushangaa uhuni unatoka wapi
Kwamba Ccm haikuchaguliwa na wananchi? Ndio sababu haiongezi mishahara? Mbona Jakaya,Mkapa (Rip) Mwinyi na JKN waliongeza mishahara?
Mimi mpaka sasa suala la wizi sina imani nalo kabisa,bali nakubali kuna mapungufu juu ya kutatua kero za wananchi. Nilipiga kura na niliona zoezi likiwa wazi na ukweli. Maana nilipiga kura na kisha kwenda home.Wao waliiba kw akili ndio maana waliongezea wananchi mishahara. Huyu mlevi wa madaraka yeye alinajisi jumla uchaguzi ili aendelee kujali vitu na sio watu.
Mimi mpaka sasa suala la wizi sina imani nalo kabisa,bali nakubali kuna mapungufu juu ya kutatua kero za wananchi. Nilipiga kura na niliona zoezi likiwa wazi na ukweli. Maana nilipiga kura na kisha kwenda home.
Halafu kuna viazi eti wanamtabiria kuwa Rais!! Labda awe Rais wa klabu yake pendwa ya Simba.Hayakustahili kuwa ndio majibu ya Wazir Mkuu wa nchi, mambo mengine yanatia kichefuchefu sana.
Ukitukana ndiyo uonekane una uzalendo ?!. Ujinga nao ni kipaji . Na Lumumba wamefanikiwa kuwa na rundo la wajinga . Huhitaji kumshambulia mtu kisa cha itikadiWe fala mbona huwa unafuatilia wanaume humu Jeifu? Mimi ndio huyu bwege mwenzako?
Jaduong kukosoa serikali kuwe kwa hoja,je Cdm walikosoa kwa hoja?Ikiwa wewe chagu wa malunde unalalamika leo. Mbona ulikuwa ukijisikia vibaya haya haya wakikosoa akina Cdm ?! Huu utakuwa ni unafiki. Wakikosoa wapinzani mnawaka Ila ukikosoa wewe tuone kawaida.
Serikali hii ya awamu ya tano, vipaumbele vyake hata nyinyi makada hamvielewi. Na wala masilahi ya wananchi si vipaumbele vyao. Akili ya hao ni jinsi gani watakavyodumu madarakani . Hata kama mshahara usiongezwe . They don't care . Wanavyo vyombo vya dola na vya maamuzi.
Acha kutetea ujinga.Ukitukana ndiyo uonekane una uzalendo ?!. Ujinga nao ni kipaji . Na Lumumba wamefanikiwa kuwa na rundo la wajinga . Huhitaji kumshambulia mtu kisa cha itikadi
Wananchi gani ?! Usinichekeshe. Hawa ambao kura zao si muhimu kwa Ccm na serikali zake !!!Jaduong kukosoa serikali kuwe kwa hoja,je Cdm walikosoa kwa hoja?
Hatima ya Ccm kukaa madarakani ipo mikononi mwa wananchi. Vyombo vya dola haviwezi kuzidi nguvu ya wananchi,masuala madogo kama nyongeza ya mishahara yanarekebishika.