Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro kuwa hospitali.
Ametoa maelekezo hayo (jana Jumanne Machi 25, 2023) alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua Kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
Ametoa maelekezo hayo (jana Jumanne Machi 25, 2023) alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua Kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro.