Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Imetenga 1Trilioni kwa ajili ya mikopo

P

Prime ana record ya kudanganya sijaona...nyie fatilieni.
Ajira sijui ngapi...hola. Rais yupo afya poa anadunda kazi Kama kawa...haya labda
Kwahiyo Kiongozi wetu haaminiki
 
Benki zipunguze processing fee pia,wanapiga parefu sana.
 
Hii ni habari njema sana.
Shida ni kwamba mtoa hii habari ana Historia ya kudanganya,, hii habari huenda pia ni muendelezo Wa ile tabia yake ya kusema uongo.
 
! Kwa sasa riba za bank kuu ni 7% lakini mikopo ya bank mpaka 21% hivyo tatizo sio riba ya serikali au bank kuu bali tatizo ni banks zenyewe
Nani wa kuzisimamia kama si BOT?
Kama Ikishindikana kwa mabenki hayo,serikali itumie mabenki yake kama Benki ya Kilimo,Benki ya Posta,n.k kuwapa maelezo sahihi ya riba kwa mteja.
Hizo Shailoki benki zisipewe hiyo fedha.
 
 
Hii ni habari njema sana.
Shida ni kwamba mtoa hii habari ana Historia ya kudanganya,, hii habari huenda pia ni muendelezo Wa ile tabia yake ya kusema uongo.
Taifa letu halina amani na Waziri mkuu wake.
 
Inatakiwa tujue Majaliwa anatumia id gani humu ili tuwe tunamuita anajisomea vitu kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…