the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi.
Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kama njia mojawapo ya kuimarisha ustawi na kufikia maendeleo jumuishi na endelevu.