Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi.

"Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie sheria ya uhuru wa kuabudu... Ilimradi hakuna uvunjifu wa amani na sheria za nchi. Huku kuabudu si tu watu wanakutana na kufanya wanavyotaka; pamoja na uhuru wa kuabudu, ipo sheria iliyoruhusu msikiti huu kuwa hapa, kanisa lile kuwa pale, na ndiyo iliyoruhusu wale wajenge na wakutane pale..." amesema Waziri Mkuu Majaliwa.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo leo, Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha, mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Your browser is not able to display this video.
 
Ule wakutuita mashetani kwenye nyumba za ibada alichokifanya raisi samia ni wakisheria au.
 
Kwa taarifa zaidi msikilizeni yeye mwenyewe
 

Attachments

  • 1024X768(1).mp4
    11.3 MB
No Reforms, No Elections.
 
Anawinda uwaziri mkuu tena
 
Mwambieni wasikaze mafuvu hayo yaliyo empty
Tupo na NO REFORMS NO ELECTION
 
Hakika
 

Hivi kukemea uovu, kupinga Uovu na uhalifu wa kuteka watu na kuwaua ni kuvunja Sheria za nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…