Riba za benki huwa ni matokeo ya ushindani wa soko huria, haziwezi kushuka kwa ombi au wito tu.Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.
Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha, ambapo ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa watoa huduma za kifedha.
Pia, Majaliwa ameisisitiza Wizara ya Fedha iendelee kusimamia na kuratibu utekelezaji wa Programu ya kutoa elimu ya fedha kwa umma na kuhakikisha kuwa elimu hiyo inawafikia wananchi wengi zaidi mijini na vijijini.
Na pia benki zina shareholders ambao wamewekeza humo na wao wanachoangalia ni faida tu..Riba za benki huwa ni matokeo ya ushindani wa soko huria, haziwezi kushuka kwa ombi tu.
Sahihi, shareholders kama wafanyabiashara wingine wowote wanawekeza pesa zao wapate faida tu, hawafanyi kazi ya kujitolea ya kanisa au msikiti.Na pia benki zina shareholders ambao wamewekeza humo na wao wanachoangalia ni faida tu..
Serikali yenyewe ingeanza kuondoa tozo kwenye miamala ya simuWaziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.
Kama kawaida watanzania tunapigwa blaa blaa ilimradi siku zinaenda 😀Kifupi hapo mpira unachezwa katikati haufiki golini maagizo wanayoshauri ni bill bila
Anawaomba? Kama sheria imewaruhusu na wanaona haiko sawa waibadili otherwise ni maneno kama anayosema Leo Leo akiwa jamii forumsWaziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.