Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
veta 1.jpg

Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa wanafundishwa ndani ya wiki moja na kuambiwa wasubili vyeti vya kurasimishwa. Swali la kujiuliza, pesa ya accommodation inayotolewa na serikali inaishia wapi? Maana hawa wanafunzi hawajalipwa zaidi ya kurudishiwa nauli walizotumia kwenda kulipoti harimashauri kwenye ofsi za VETA

Viongozi fuatilieni hili
 
Back
Top Bottom