Hata ujenzi wa Barabara ulikuwa hivyo lakini sio sasa , au hauoni??Board za mazao zilishashindwa siku nyingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ujenzi wa Barabara ulikuwa hivyo lakini sio sasa , au hauoni??Board za mazao zilishashindwa siku nyingi sana.
Tunazungumzia bodi za mazao, hilo la barabara anzisha mada tutachangiaHata ujenzi wa Barabara ulikuwa hivyo lakini sio sasa , au hauoni??
Cc Mohamed Said mzee kuna siku ulikuja na taazia ya aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mkonge..Waziri mkuu mh Majaliwa anafungua jengo la ofisi za bodi ya mkonge na kushuhudia utekelezaji wa agizo lake lililotaka mali zote za Mkonge zilizoporwa na mafisadi zirejeshwe.
Karibu.
Up datea;