Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Hapa Safi. Kauli ya Mwenyekiti wa chama ilikuwa na lengo la kuwablind Nyumbu na Wana wao ili wazidi kuwaamini hao waliotumwa huko, CHADEMA. Mliwaamini kweli, mkawashirikisha kwenye vikao vyenu vya Siri. Baada ya kukamilisha kazi waliyotumwa, wamerudi nyumbani kutoa ripoti.
Muda si mrefu kitatumwa kikosi kingine kikiongozwa na Jasusi Mbobezi#LIROLIMODO#sisiNDOwataalam buana.