Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Hapa Safi. Kauli ya Mwenyekiti wa chama ilikuwa na lengo la kuwablind Nyumbu na Wana wao ili wazidi kuwaamini hao waliotumwa huko, CHADEMA. Mliwaamini kweli, mkawashirikisha kwenye vikao vyenu vya Siri. Baada ya kukamilisha kazi waliyotumwa, wamerudi nyumbani kutoa ripoti.
Ndiyo kustaafu huko; hata anapoongea, huwa ama anachangia sera fulani tena kwa kuulizwa, na wala hajali kama mawazo yake yamesikilizwa au vipi; siyo kustaafu kwa kulialia kuwa umechafuliwa na wadaku, au kulalamlalama kuwa umesahahuliwa. Msuya na Mramba walijenga sana infrastructure kwenye mkoa wa Kilimanjaro siyo mchezo, laiti mawaziri wote wangefanya hivyo makwao, nchi yote leo hii ingekuwa mbali sana.I wish hawa viongozi wastaafu wangeiga kwa Cleopa Msuya. Kimya utafikiri hayupo, anakula pension yake taratiiiibu