Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

Status
Not open for further replies.
BREAKING NEWZ!!!!!
Kesho Sumaye, Komu na Kubenea kurejea CCM
....hao wawili nao Kubenea na Komu ni kama wafu tu ndani ya CHADEMA, toka mipango yao haramu ifahamike wamekuwa wa baridi!, sijui aibu au nini!

na inasemekana hao jamaa wawili hawajawahi hata mara moja kwenda mahakamani kwenye ile kesi ya wenzao, hatari!
 
Hahahaaa.......... Sumaye ataipasua Chadema katikati!

Mzee Mgaya na mchungaji Erasto wanasemaje kuhusu vipande vya Sumaye atakavyoipasua cdm? Huyo Sumaye ni nyuki wa mashineni hang'ati kabisa. Lowassa kaondoka na ndio alikuwa na jina kuliko yeye, lakini ccm bado imebidi wanajisi box la kura ili wajitangaze washindi ndio itakuwa Sumaye?
 
Kesho saa tano ni mbali, alale hata nyumbani kwa waandishi wa habari, arejee ccm akaunge mkono juhudi. Aongee chochote atakacho ndani ya cdm yeye Ni useless. Na kwenye haya cdm wapate somo hii kuokota mizoga huko ccm na kuipa nafasi ya uongozi ni jambo lisilokubalika.
Hahahahahahah vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom