Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

Status
Not open for further replies.
Kesho mzee Sumaye atawashangaza wengi........Tusisahau kuwa Jaji Mutungi anafuatilia kwa karibu sana uchaguzi wa Chadema!
 
Kesho mzee Sumaye atawashangaza wengi........Tusisahau kuwa Jaji Mutungi anafuatilia kwa karibu sana uchaguzi wa Chadema!

Acha jaji Mutungi, hata Magufuli anaruhusiwa kufuatilia ila cdm hamna kupita bila kupingwa. Na huyo jaji Mutungi akiona mkulu hafurahi akifute cdm ili mkulu afurahi zaidi. Sumaye arejee tu ccm, huko cdm anapoteza muda wake bure. Arudi ccm akateuliwe kwenye bodi za taasisi za umma.
 
Bwashee hakuna atakayeifuta Chadema....... Ila Chadema inajifuta yenyewe taratibu!
 
Mzee amechoka kuburuzwa Kama mpira wa kona

Hotuba yake inaenda kusambaratisha Chadema

Cdm ipi ya kusambaratishwa na Sumaye? Kashindwa jiwe kupitia mahakama, bunge, vyombo vya dola na watu wasiojulikana ndio itakuwa huyo mstaafu?
 
Bwashee hakuna atakayeifuta Chadema....... Ila Chadema inajifuta yenyewe taratibu!

Labda muwachukue cdm wote muwapange hapo uwanja wa taifa, kisha muwachukue wasiojulikana wawaminie risasi. Lakini kwa hizi mbinu za kunajisi uchaguzi kisha ccm wapite bila kupingwa mtangoja sana.
 
Self filtration for all debrils, CDM going to stabalize... Mbowe, its the time to compromise with ZZK and Mzee Maalim to have strong opposition than all the time...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…