Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Kassimu Amtembelea na Kumjulia Hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Nchini King Kiki

Mungu mjaalie apate nafuu ya haraka mzee wetu wa kitambaa cheupe.
 
Hahaha majaliwa ni yupi hapo na King Kiki ni yupi?!
 
Mhesh Kassimu Majaliwa amemtembea nguli huyo wa muziki Nchini almaarufu Mzee wa Kitambaa Cheupe Nyumbani kwake leo.
Duh, nilimkumbuka King Kikii na wimbo wake wa kitambaa cheupe hivi karibuni
Get Well Soon King Kikii
P
 
Hivi huyu mzee alishaupata uraia wa tz
Si inasemekana alitokeaga kongo

Ova
 
Futuhi!! Ndiyo ni Futuhi!
Kama ana ubinadamu huo:-
  • kwann walifanya yale ya Pemba??
  • kwann wapinzani wanaenda kutafuta hifadhi?
  • kwann mgombea wa upinzani Ruangwa alipigwa na kutekwa ofisi ya mkurugenzi siku ya kurudisha fomu?

"Thugs can't disguise their identities by acting humanely"....by Sexless.
 
Katika harakati za kuto sahaulika mapema
 
Ndugu yangu, shetani ili akunase, kwanza hujifanya malaika, ukishahadaika, ndipo utautambua ushetani wake.

CCM siyo chama bali ni imani. Ni imani iliyojengeka kwenye misingi ya kishetani. Huwezi kuingia humo halafu usiishi imani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sexless!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…