Waungwana habari,
Ni hivi majuzi tu bodi mpya ya wakurugenzi wa kampuni muhimu kabisa ya simu Tanzania TTCL ilivunjwa na kuundwa ingine! Lakini kuna jambo lililo jificha ndani yake. Huyu muungwana aliyewahi kuwa waziri mkuu Warioba hatoki kwenye hii bodi, na kutotoka kwake kunahusishwa kwa ukaribu na udororaji wa hii kampuni, kwani bila shaka ana hisa katika makampuni mengine makubwa kabisa ya mitandao ya simu hapa nchini!
Huyu ndugu amesimama kama mbuyu wa mama mmoja ambaye yupo kwenye nafasi muhimu ya maamuzi hapa TTCL na anatia pingamizi za fikra nyingi za muhimu za sisi wataalamu ili kampuni isiendelee. Mama Chili, Je huyu ndugu hawezi kuhimizwa kuondoka na vichuguu vyake ili tufanye kazi na kuiendeleza nchi?
Nawasilisha.