Waziri mkuu mstaafu Warioba na TTCL

Waziri mkuu mstaafu Warioba na TTCL

bundas

Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
79
Reaction score
9
Waungwana habari,

Ni hivi majuzi tu bodi mpya ya wakurugenzi wa kampuni muhimu kabisa ya simu Tanzania TTCL ilivunjwa na kuundwa ingine! Lakini kuna jambo lililo jificha ndani yake. Huyu muungwana aliyewahi kuwa waziri mkuu Warioba hatoki kwenye hii bodi, na kutotoka kwake kunahusishwa kwa ukaribu na udororaji wa hii kampuni, kwani bila shaka ana hisa katika makampuni mengine makubwa kabisa ya mitandao ya simu hapa nchini!

Huyu ndugu amesimama kama mbuyu wa mama mmoja ambaye yupo kwenye nafasi muhimu ya maamuzi hapa TTCL na anatia pingamizi za fikra nyingi za muhimu za sisi wataalamu ili kampuni isiendelee. Mama Chili, Je huyu ndugu hawezi kuhimizwa kuondoka na vichuguu vyake ili tufanye kazi na kuiendeleza nchi?

Nawasilisha.
 
Nani msafi?hata wewe hapo ulipo kazini kwako hujawahi kupindisha mambo?....sitetei uzembe, ila uwajibikaji unaanzia katika ngazi ya familia.

Lawama za kizazi
 
Hapa kuna conflict of interest. Najua ana Hisa kwenye makapuni ya simu za mikononi hivyo inatia shaka kama anaweza kuwa impartial na kwamba hawezi kusimamia maslahi ya TTCL ambayo yanaweza kutoa ushindani mkali wa kibiashara kwa makampuni alikowekeza.
 
Haiwezekani mtu mwenye hisa kwenye kampuni ya simu moja awe kwenye board ya kampuni ingine ya simu,kama ni kweli basi data ziwekwe hapa tuziwasilishe kunakohusika na kutuma kwenye magazeti yote.
 
Nani msafi?hata wewe hapo ulipo kazini kwako hujawahi kupindisha mambo?....sitetei uzembe, ila uwajibikaji unaanzia katika ngazi ya familia.

Lawama za kizazi
Una maana gani sasa!??
 
Nani msafi?hata wewe hapo ulipo kazini kwako hujawahi kupindisha mambo?....sitetei uzembe, ila uwajibikaji unaanzia katika ngazi ya familia.

Lawama za kizazi

Kama wewe mchafu usifikiri kila mtu mchafu. Kaz yako ni kupindisha mambo kazini kwako.
 
ttcl haiwezi kukuwa kwa sababu wanaoikwamisha ni watanzania wenyewe hasa waliopo kwenye management watu wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi kampuni inakufa kama ilivyokufa NASACCO na mengine watanzania ni wajinga sana
 
pamoja na conflict of interests, je yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho katika bodi ???
hapa kuna conflict of interest. Najua ana hisa kwenye makapuni ya simu za mikononi hivyo inatia shaka kama anaweza kuwa impartial na kwamba hawezi kusimamia maslahi ya ttcl ambayo yanaweza kutoa ushindani mkali wa kibiashara kwa makampuni alikowekeza.
 
BRO UKO SAHIHI ZAIDI. huyu WAZIRI MKUU MSTAAFU HANA JIPYA NDANI YA TTCL, NA NI KWELI PIA ANA HISA KTK KAMPUNI YA VODACOM, NANI KWELI PIA HUYU NA MAMA CHILI NI MKUBWA WA KUZOROTA KWA TTCL AKISHIRIKIANA NA HUYU WAZIRI MKUU MSTAAFU.

TEWUTA NA WANATTCL WOOTE MNAOITAZAMA TTCL KAMA NDIO MAISHA YENU NI LAZIMA MFUMBUE MACHO NA KUONYESHA KUTORIDHISHWA KWENU KWA UWEPO WA HAWA WATU SAMBAMBA NA UDORORAJI WA TTCL YETU.

NI LAZIMA HARAKATI ZILE ZILIZOWANG'OA WAZUNGU ZIANZE UPYA. CEO ANAKAIMU MUDA MREFU SAANA HALI YA KUWA HANA MAAMUZI. KADHALIKA WAPO BAADHI YA MCHWA WANAITAFUNA TTCL KAMA SHAMBA LA BIBI YAO.

MUDA UMEFIKA TEWUTA NA SAFU NZIMA YA UONGOZI KUISHUGHULIKIA HALI HII MBAYA.
 
Kwa kweli hali inayoendelea ndani ya ttcl inatia kichefuchefu. Bodi iilyoteuliwa na imekaa kimya wala wakati wanajua CEO anakaimu karibu mwaka mzima, CEO mwenyewe karibu atastaafu muda wowote na uwezo wa utendaji wake wa kazi ni mdogo sana.
Chama cha wafanyakazi mko wapi, mbona hamsikiki kushughulikia mustakabali wa kampuni ya umma......au na nyie ni sehemu matatizo
 
BRO UKO SAHIHI ZAIDI. huyu WAZIRI MKUU MSTAAFU HANA JIPYA NDANI YA TTCL, NA NI KWELI PIA ANA HISA KTK KAMPUNI YA VODACOM, NANI KWELI PIA HUYU NA MAMA CHILI NI MKUBWA WA KUZOROTA KWA TTCL AKISHIRIKIANA NA HUYU WAZIRI MKUU MSTAAFU.

TEWUTA NA WANATTCL WOOTE MNAOITAZAMA TTCL KAMA NDIO MAISHA YENU NI LAZIMA MFUMBUE MACHO NA KUONYESHA KUTORIDHISHWA KWENU KWA UWEPO WA HAWA WATU SAMBAMBA NA UDORORAJI WA TTCL YETU.

NI LAZIMA HARAKATI ZILE ZILIZOWANG'OA WAZUNGU ZIANZE UPYA. CEO ANAKAIMU MUDA MREFU SAANA HALI YA KUWA HANA MAAMUZI. KADHALIKA WAPO BAADHI YA MCHWA WANAITAFUNA TTCL KAMA SHAMBA LA BIBI YAO.

MUDA UMEFIKA TEWUTA NA SAFU NZIMA YA UONGOZI KUISHUGHULIKIA HALI HII MBAYA.
dah! ttcl is totally in the grave. mwenyekiti, katibu, mtunzafedha wa tewuta wanatoka mara region, mzee warioba coming from the same region, unategemea nini? that is nepotism.
 
Kama wewe mchafu usifikiri kila mtu mchafu. Kaz yako ni kupindisha mambo kazini kwako.​

  • mating4.jpg

    mating2.jpg

    mating3.jpg

Back
Top Bottom