PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu akagua athari kwenye majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo Kyela

PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu akagua athari kwenye majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo Kyela

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwq na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini.
WhatsApp Image 2025-12-18 at 11.18.34_0028bb62.jpg

WhatsApp Image 2025-12-18 at 11.17.47_c8ef2c23.jpg

WhatsApp Image 2025-12-18 at 11.18.03_e7ac10ce.jpg
 
Back
Top Bottom