Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐๐๐๐จ๐ ๐จ๐๐๐ฅ๐๐๐๐๐จ ๐๐๐ง๐จ๐ข ๐๐๐ ๐ ๐๐๐จ๐ง๐ ๐๐๐ ๐ง๐ข๐ง๐๐
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Maji ya Chai, ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua uharibifu uliojitokeza kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.
Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amosi Makalla.