Waziri Mkuu, Mwigulu ashiriki Azania Bank Bunge Bonanza 2026

Waziri Mkuu, Mwigulu ashiriki Azania Bank Bunge Bonanza 2026

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.

Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi.

Kaulimbiu ya bonanza hilo ni “UMOJA WETU NI NGUVU YETU.”
IMG-20260131-WA0024.jpg
IMG-20260131-WA0037.jpg
IMG-20260131-WA0033.jpg
IMG-20260131-WA0038.jpg
IMG-20260131-WA0026.jpg
IMG-20260131-WA0036.jpg
IMG-20260131-WA0034.jpg
IMG-20260131-WA0030.jpg

IMG-20260131-WA0032.jpg
 

Attachments

  • IMG-20260131-WA0035.jpg
    IMG-20260131-WA0035.jpg
    608.2 KB · Views: 26
Serekali ya wauaji kushiriki kwenye lolote su habari.
 
sasa hayo mabunduki ya nini tena kwenye bonanza against who? hivi hii nchi iko vitani?...

1769842254204.png
 
DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.

Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi.

Kaulimbiu ya bonanza hilo ni “UMOJA WETU NI NGUVU YETU.”
View attachment 3536847View attachment 3536848View attachment 3536850View attachment 3536851View attachment 3536852View attachment 3536854View attachment 3536855View attachment 3536856
View attachment 3536846
Azania Bank wamewapa Wabunge kiasi gani kama posho?
 
Umoja hauletwi kwa bonanza, turudishieni wapendwa wetu, mtoeni Lissu gerezani, tubuni dhambi ya mauaji na wauaji wote wawajibishwe
 
Back
Top Bottom