Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Azania Bank wamewapa Wabunge kiasi gani kama posho?DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.
Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi.
Kaulimbiu ya bonanza hilo ni “UMOJA WETU NI NGUVU YETU.”
View attachment 3536847View attachment 3536848View attachment 3536850View attachment 3536851View attachment 3536852View attachment 3536854View attachment 3536855View attachment 3536856
View attachment 3536846
Azania Bank wamewapa Wabunge kiasi gani kama posho?