Waziri Mkuu, Mwigulu kufanya ziara ya kikazi Rukwa, Namanyere

Waziri Mkuu, Mwigulu kufanya ziara ya kikazi Rukwa, Namanyere

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere

Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

📅 Jumatatu – Machi 09, 2026
⏰️ Kuanzia saa 3 asubuhi

Lengo la Ziara:
1. Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa – Namanyere
2. Mkutano wa Hadhara – Namanyere
3. Kukagua Ujenzi wa Shule mpya ya Elimu ya Amali na Msingi – Kasu
4. Mkutano wa Hadhara – Kasu


IMG-20260309-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom