Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere
Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
π
Jumatatu β Machi 09, 2026
β°οΈ Kuanzia saa 3 asubuhi
Lengo la Ziara:
1. Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa β Namanyere
2. Mkutano wa Hadhara β Namanyere
3. Kukagua Ujenzi wa Shule mpya ya Elimu ya Amali na Msingi β Kasu
4. Mkutano wa Hadhara β Kasu