Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akutana na Naibu Mkurugenzi wa FAO

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akutana na Naibu Mkurugenzi wa FAO

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DKT. MWIGULU AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA FAO

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Bi. Beth Bechdol jijini Dar es salaam leo tarehe 3 Februari, 2026.

Pamoja na mambo mengine, Viongozi hao wameahidi kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na FAO ili kukuza na kuimarisha sekta ya Kilimo nchini.
5c8bb715964c48f5ba7d49d5368f62f1.jpg
5c8bb715964c48f5ba7d49d5368f62f1(1).jpg

1770123458803.png
 
Wewe ndio huna akili, kumbuka taasisi kubwa na nyeti ya EU wamekubaliana na uwepo wa serikali hii.
EU ndio wana halalisha au kuchagua waziri mkuu wa Tanzania? alafu unaniita heti sina akili hivi wewe kichwani zimo kweli au mpumbavu mpumbavu
 
EU ndio wana halalisha au kuchagua waziri mkuu wa Tanzania? alafu unaniita heti sina akili hivi wewe kichwani zimo kweli au mpumbavu mpumbavu
Nyinyi si ndio mlisema Tanzania imewekewa vikwazo, hayo mashirika makubwa yanapoendelea kufanya kazi na serikali maana yake wameshaitambua tayari
 
Back
Top Bottom