It's worse than betting. Watu wamelizwa sanaBiashara ya vitu used ni changamoto sana. Kama betting tu.
It's worse than betting. Watu wamelizwa sana
Chris unalipia mali ikishapakuliwa na kutunzwa bohari, unalipia kitu unachokiona.Afande Chris lukosi nadhani anaweza kuwa makini
Ahsante kaka nafurahi kusikia hivyoChris unalipia mali ikishapakuliwa na kutunzwa bohari, unalipia kitu unachokiona.
Tatizo ni hawa wanaokutaka ulipie ndio mzigo upakiwe kwenye container huko ughaibuni.
Hivi nikuulize inakuwaje unaagiza mzigo kwa mtu ambaye hujui uaminifu wake kisha unapatana naye mnamalizana kila kitu kisha baadae anakuletea mzigo mbovu halafu unaomba serikali ije kukusaidia kwenye ishu ya maelewano baina ya watu wawili?Wafanyabiashara wengi sio waaminifu Kabisa. Haswa hawa wenye fujo fujo sana mtandaoni .. umakini ni muhimu sana watu wanalizwa sana kweli.
Utapeli wa namna hiyo hata serikali ni ngumu kuuzuia maana hawa watu wanapatana kinyemela, wanalipana kinyemela. Akipigwa tukio ndio anajitokeza bila vielelezo zaidi ya maneno.Hivi nikuulize inakuwaje unaagiza mzigo kwa mtu ambaye hujui uaminifu wake kisha unapatana naye mnamalizana kila kitu kisha baadae anakuletea mzigo mbovu halafu unaomba serikali ije kukusaidia kwenye ishu ya maelewano baina ya watu wawili?
Ni kitu gani au alama gani ilikuaminisha kuwa huyo mtu ana uwezo wa kudeliver vitu kwenye ubora unaoutaka?
Kwenye suala la umakini hapa Watanzania huwa tunafeli sana tunapenda kufanya vitu na kuamua kwa mihemko
Hivi nikuulize inakuwaje unaagiza mzigo kwa mtu ambaye hujui uaminifu wake kisha unapatana naye mnamalizana kila kitu kisha baadae anakuletea mzigo mbovu halafu unaomba serikali ije kukusaidia kwenye ishu ya maelewano baina ya watu wawili?
Ni kitu gani au alama gani ilikuaminisha kuwa huyo mtu ana uwezo wa kudeliver vitu kwenye ubora unaoutaka?
Kwenye suala la umakini hapa Watanzania huwa tunafeli sana tunapenda kufanya vitu na kuamua kwa mihemko
Matapeli hawana muda huo wa kuwaza wanachowaza wao pesa iingie tu mfukoni kwao watoto waende maliwatoUpo sahihi sana. Ndio maana post ya mwanzo kwenye huu uzii nimeandika "Caveat Emptor" ila pamoja na hiyo siyo sababu ya kuwaumiza wateja masikini.
Wengi wanajikusanya kununua vitu used kwa sababu hawana uwezo wa kununua brand new... Sasa isiwe sababu ya kuwaumiza kwa kuwauzia vitu ambavyo vimekwisha kabisa matumizi yake. Na ukijua kwenye used hakunaga warranty Wala guarantee.
Hakuna pesa inayolipwa bila vielelezo.Utapeli wa namna hiyo hata serikali ni ngumu kuuzuia maana hawa watu wanapatana kinyemela, wanalipana kinyemela. Akipigwa tukio ndio anajitokeza bila vielelezo zaidi ya maneno.
Mkuu mpeleke kwenye vyombo vya sheria upate haki yako!!.Hakuna pesa inayolipwa bila vielelezo.
Serikali haiwezi kushindwa kuzuia utapeli huu, labda kama utashi hautakuwepo.