Waziri Mkuu, Mwigulu: Wizara zinazohusika zinaandaa mikakati wafanyabiashara kunufaika na AFCON 2027

Waziri Mkuu, Mwigulu: Wizara zinazohusika zinaandaa mikakati wafanyabiashara kunufaika na AFCON 2027

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameeleza namna Serikali kupitia wizara zake kuandaa mikakati itakayowezesha wajasiriamali kunufaika na Mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania atakua mwenyeji wa michuano hiyo.

Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Amani Abdul Yussuf Maalim, leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la kumi na tatu, mkutano wa tatu, kikao cha tatu, Dodoma kuhusu namna gani imeandaa mikakati ya wajasiriamali kunufaika na Mashindano ya AFCON 2027


 
Back
Top Bottom