Waziri Mkuu Nchemba awasili Nyumbani kwa Lukuvi, Idodi Iringa

Waziri Mkuu Nchemba awasili Nyumbani kwa Lukuvi, Idodi Iringa

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi, Kijiji cha Idodi mkoani Iringa kuongoza waombolezaji kwenye maziko ya Mhe. Lukuvi leo Machi 31, 2026.

Mhe. Lukuvi alifariki dunia tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.
 

Attachments

  • IMG-20260331-WA0131.jpg
    IMG-20260331-WA0131.jpg
    148 KB · Views: 29
  • IMG-20260331-WA0132.jpg
    IMG-20260331-WA0132.jpg
    106.1 KB · Views: 22
  • IMG-20260331-WA0130.jpg
    IMG-20260331-WA0130.jpg
    98.5 KB · Views: 24
  • IMG-20260331-WA0129.jpg
    IMG-20260331-WA0129.jpg
    86.3 KB · Views: 24
  • IMG-20260331-WA0125.jpg
    IMG-20260331-WA0125.jpg
    147 KB · Views: 29
  • IMG-20260331-WA0126.jpg
    IMG-20260331-WA0126.jpg
    91.9 KB · Views: 31
  • IMG-20260331-WA0127.jpg
    IMG-20260331-WA0127.jpg
    97.5 KB · Views: 29
  • IMG-20260331-WA0128.jpg
    IMG-20260331-WA0128.jpg
    95 KB · Views: 28
  • IMG-20260331-WA0123.jpg
    IMG-20260331-WA0123.jpg
    100.2 KB · Views: 25
Kavideo tupate zaidi tuone mazingira ya huko isimani

Ova
 
Sawa Mzalendo Number One Amewasili Ismani
 
Mwigulu anajiona Rais kabisa.Sema anasahau kuwa Nchimbi ana asilimia kubwa ya kuwa Rais kuliko Mwigulu. Samia akichomoka leo Nchimbi anakua Rais .Na hapo ndoto za Mwigulu zitakufa kabisa.
 
"Kifo ni kifo tu acheni kuleta taharuki" alisikika malkia wa nchi moja iv!.
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi, Kijiji cha Idodi mkoani Iringa kuongoza waombolezaji kwenye maziko ya Mhe. Lukuvi leo Machi 31, 2026.

Mhe. Lukuvi alifariki dunia tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mwamba anamuiga Hitler style ya kunyoa sharubu. Na labda usikute siyo kumuiga Hitler tu, ni masharti ya mganga.
 
Mwigulu anajiona Rais kabisa.Sema anasahau kuwa Nchimbi ana asilimia kubwa ya kuwa Rais kuliko Mwigulu. Samia akichomoka leo Nchimbi anakua Rais .Na hapo ndoto za Mwigulu zitakufa kabisa.
Ila wabongo tunapenda misifa sana angalia hao walinzi wake na show off.

IMG-20260331-WA0132.jpg
 
Bado hajazikwa tuu! 😁
Hapa ndipo ninapowakubali waislamu.
Mtu akifa, nyama ya udongo sio mpaka aanze kuwa wa kijani.
 
Bado hajazikwa tuu! 😁
Hapa ndipo ninapowakubali waislamu.
Mtu akifa, nyama ya udongo sio mpaka aanze kuwa wa kijani.
Waislam huwa hawarembi
Kumchosha marehemu

Ova
 
Back
Top Bottom