Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Sijuwi kuna mkeka huko auSawa Mzalendo Number One Amewasili Ismani
Vumbi Tupu IdodiSijuwi kuna mkeka huko au
Wamepita kwenye vumbi
Ova
Nkajuwa kidogo wamepiga hatua maana miaka fulani nliendaga huko dah kuko ovyoVumbi Tupu Idodi
Mwamba anamuiga Hitler style ya kunyoa sharubu. Na labda usikute siyo kumuiga Hitler tu, ni masharti ya mganga.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi, Kijiji cha Idodi mkoani Iringa kuongoza waombolezaji kwenye maziko ya Mhe. Lukuvi leo Machi 31, 2026.
Mhe. Lukuvi alifariki dunia tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.
GT deal gani lilikupeleka huko?Nkajuwa kidogo wamepiga hatua maana miaka fulani nliendaga huko dah kuko ovyo
Ova
Ila wabongo tunapenda misifa sana angalia hao walinzi wake na show off.Mwigulu anajiona Rais kabisa.Sema anasahau kuwa Nchimbi ana asilimia kubwa ya kuwa Rais kuliko Mwigulu. Samia akichomoka leo Nchimbi anakua Rais .Na hapo ndoto za Mwigulu zitakufa kabisa.
Kuangalia mazao mkuuGT deal gani lilikupeleka huko?
Waislam huwa hawarembiBado hajazikwa tuu! 😁
Hapa ndipo ninapowakubali waislamu.
Mtu akifa, nyama ya udongo sio mpaka aanze kuwa wa kijani.