DOKEZO Waziri Mkuu okoa wananchi wa Dodoma jiji D Center Makole. Wanadhulimiwa haki yao, wapewa fidia eneo ambalo kumbe mali ya MSD medeli AC Block 157

DOKEZO Waziri Mkuu okoa wananchi wa Dodoma jiji D Center Makole. Wanadhulimiwa haki yao, wapewa fidia eneo ambalo kumbe mali ya MSD medeli AC Block 157

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mbuzi mee

Senior Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
156
Reaction score
217
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena serikali iliyopita hivyo hawakuwa na na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa..

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
 
kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK,B.O.T,HAZINA
Kwhy mnataka viwanja pale hazina sio??
 
kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.

Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena serikali iliyopita hivyo hawakuwa na na fedha ya kulipa fidia. Hivyo wakasema watawapa viwanja sehemu yenye gharama ili wao ndio waviuze kwa thamani kubwa..

Ila cha kushangaza viwanja walivyopewa na gharama zote za hati wameshalipia kumbe ni mali ya  MSD na vimeshalipiwa mpaka 2025..kwa wale wasiopajua eneo ni lile lenye ukumbi wa JK, B.O.T, HAZINA.
Huijui ccm wewe .
 
Kwhy mnataka viwanja pale hazina sio??
Walishapewa na hati wanazo....hata walipoondolewa ni upande wa mbele wa chuo cha CBE yaani ikiwa na maana walikuwa katikat ya jiji..
Sasa unafikir ni viwanja gani unaweza wapa vyenye thamani ya walikuwepo?

Tathmini ya fedha walipokuwepo kabla ya kupisha mradi viwanja tu bila nyumba ni 76 milion..sasa fikiria ubomoe na nyumba alafu utawalipa eneo gani kwa dodoma lenye thamani hiyo kwa fidia ya bila fedha?

Kumbuka wananchi hawakuomba kulipwa fidia ya viwanja,halmashauri ya jiji ndio iliwashawishi kwamba wakubali coz hayo maeneo wakiyachukua yana thamani kuliko hela ambayo wangepewa.

Wananchi wakakubali ambazo ni kaya 12 na hati wanazo..sasa kizungumkuti kimekuja walipokuwa wanataka kuyauza ndio MSD wametokeza nao wana hati yao na wameilipia mpaka 2025.

Huoni kama halmashauri ya jiji wamewafanyia hao wananchi uhuni?
 
20221230_080221.jpg
 
Hiyo ndio ramani baada ya kufanya re- survey maeneo yaliyo zungushiwa duara yalikuwa ni makubwa yakavunjwa vunjwa ndio vikapatikanika viwanja ambavyo ndio walipewa wananchi husika.

Ila kumbe lilikuwa ni eneo la MSD
 
Naomba mamlaka husika kulifuatilia hili suala kuna dhuluma kubwa inafanyika..hawa wananchi wanasumbuliwa toka 2013
 
Mamlaka husika mpaka sasa wamekaa kimya .watu mrishawabomelea na mlipowapeleka ndio kuna huo mgogoro..

Mmewaacha hawana makazi wala msaada wakati mliwakuta wana nyumba zao na wala hawajavamia eneo
Mkuu wa wilaya kashapelekewa haya malalamiko ila kabaki kuwapiga wananchi chenga kwa huu UTAPELI wa mkurugenzi wa Dodoma jiji
 
Mpaka leo hii hakuna kilichofanyika...mkuu wa wilaya kapelekewa hili ila nae anawapiga danadana...
Sijajua kulikuwa na uharaka gani kuwaondoa wananchi pale MAKOLE D Center ikiwa hamna hela ya kuwalipa fidia

Umewabomolea mjenge stendi sehemu mliyowapeleka ni mali ya MSD sasa mlikuwa na lengo gani km sio utapeli?

Mnamsingizia hayati Magufuli kwamba fungu mlilotenga kuwalipa hao wananchi fidia eti marehemu alilichukua kipnd cha uchaguzi na halikurudi!!!!
 
Back
Top Bottom