Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 807
Mkuu kutoka SHULE YA TANGA HADI MJINI TUFANYE LABDA KM 10 ila ka mwendoUlikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Natamani kukutukana ila Mungo tu anisamehe, umeandka maelezo marefu kukosoa na kukanusha kilichoandikwa ila hujatupa jibu sahihi. Sasa hapo ndo umefanya nini?[emoji16][emoji16][emoji16]Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Mkuu kilometa 15 zinafika kwa kujibu wa waziri MkuuUlikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Haifiki ungesema klmt 6 au 7 hivi aise.Mkuu kutoka SHULE YA TANGA HADI MJINI TUFANYE LABDA KM 10 ila ka mwendo
Hapana imehamishiwa chatoHivi ile hospitali ya Bombo bado ipo Songea?
Mbona na wewe umesema Km 20 wakati huo umemkosoa mwenzako??Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhar
Kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa mpaka stand ni kilomita 15. That means kuna watu along mbamba bay Road wanaweza kufikisha kilomita 20 kirahisi kabisa.Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Usafiri wa ndani ya mjini ndio ufike elfu 3000!?Labda nikupe ushauli siku ukitaka kusafiri nenda alfajiri stend ya zamani hua kuna vigari vidodogo nauri 3000 mpaka 4000.
Kilomita 15 kwa mujibu wa Google mapsHaifiki ungesema klmt 6 au 7 hivi aise.
hata sijui ndio huko.mana kuna magari mnayapanda ya hao jamaa super feo anawapa msaada mpaka stend huko mana ni mbal kwa mgen huwez kujua.sasa ili uwah lift hio lazima udamke pale saa kum usiku.kufika hio naambiw stend mpya asee ushuzi mtupu.Unasemea msamala?
sasa wewe unaona sawa nauli hio??? si ya chalinze dar hioLabda nikupe ushauli siku ukitaka kusafiri nenda alfajiri stend ya zamani hua kuna vigari vidodogo nauri 3000 mpaka 4000.
Mkuu wa mkoa kapigiwa sana simu kumwomba wakae pamoja na wafanyabiashara waongee ili watatue matatizo yaliyopo,hakutokea hata siku mojaNimetumia 2,000 kufika Mjini badala y 400. Total itakuwa 4000 na kurui home. Naona magari na maduka wamekaza HD sasa. Nafikiri itasaidia wakija vikao watapata suluhu. Ila ubabe mwingi mno kwa kweli. Mwananchi Si kitu tena
Hapo sifurahii kuna changamoto ni kweri kabisa inabidi wa husika watumie zaidi busara ili kutatua hilo maana wakicheza watakua wameua biashara nyingi pia usumbufu kwa wasafili ukweri kuna usumbufu.
makosa ya kiundishi mkuu nilisahau kuweka alama ya kuuliza, ila usumbufu upo mkubwa sana.Mbona na wewe umesema Km 20 wakati huo umemkosoa mwenzako??