Serikali ilitakiwa kuwaandalia njia sambamba na ujenzi wa stand, lakini cha kushangaza na wao wanashangaa kuwa kumbe hakuna njia kwa watu haoMtu wa Chanika, Mbagala, Gezaulole, Kongowe, Toangoma, Kibada, wengi watatumia zaidi ya kilometa 30, 40 hadi 50 kufika Mbezi,
Dsm usifananishe na songea boss mtu anatoka mvuti anawahi basi la sa 12 mbezi usafiri huku dsm ni rahisi kitu kingine wangeruhusu mabasi ya dsm yapakie stand ya zaman then yaende huko shule ya TangaSasa kwa muktadha huo, hata ilipokua ya zamani, bado kutakua kuna watu walilazimika kutembea umbali huo, hiyo BALANCING ni ngumu sana kuifanya. Hata kwa DSM pale Ubungo na kwa sasa Mbezi Louis(kuanzia 25.2.2021, kama taarifa zilizonukuliwa zitabaki hivyo), siyo watu wote wanaweza kufaidika na umbali. Mtu wa Chanika, Mbagala, Gezaulole, Kongowe, Toangoma, Kibada, wengi watatumia zaidi ya kilometa 30, 40 hadi 50 kufika Mbezi, wakati wenzao wa Kimara, Kinyerezi, Kibamba ni kuanzia 10km na pungufu ya hizo.
Ukitoka dar,mbeya,njombe,dodoma, kituo cha mwisho kushusha abiria ni shule ya Tanga ambapo ndio kuna stendi mpyahata kama ni mapanuzi hii imezidi aisee! khaa
Umbali wa kawaida ndio endapo kuna mazingira ya kufikika kwa wakati eneo hilo.daladala toka songea mjini kwenda hapo stendi zinaanza saa11 asubuhi na kukoma safari saa3 usiku.basi za dar zinaingia saa4 usiku,sasa huyo abiria unamshusha sehem haina guest haina daladala usiku huo anatembea kwa mguu?Ambao ni umbali wa kawaida sana
Ndio ipo mbele zaidi msamala huenda wakaweka kitu kingine.Naomba kuuliza,mara ya mwisho kufika songea(2019) stendi mpya ilikuwa Msamala,Ni kwamba imesogezwa mbali zaidi sio Msamala tena?
Noted, ni changamoto lakini kipekee naona lilikua ni jambo jema la kukuza mji, hapo ni mazingira tu na kukubaliana ili kuondoa changamoto, lakini siyo wazo baya hata kidogoUmbali wa kawaida ndio endapo kuna mazingira ya kufikika kwa wakati eneo hilo.daladala toka songea mjini kwenda hapo stendi zinaanza saa11 asubuhi na kukoma safari saa3 usiku.basi za dar zinaingia saa4 usiku,sasa huyo abiria unamshusha sehem haina guest haina daladala usiku huo anatembea kwa mguu?
Mkuu wa mkoa kaombwa na wafanya biashara wakae wajadili changamoto wanazokumbana nazo baada ya kuhamishia hiyo stendi huko shule ya tanga Kagoma kukutana naoNi kweli lakini kabla ya kufanya upanuzi lazima kufikiria factors zingine hasa uwezo wa wananchi kiuchumi kwa wakati husika, na wakati mwngine kuwashirikisha wananchi katika kufanya maamuzi ni kuhimu ili kutowasababishia tafrani
Hapa na mkuu Transportation master plan.. ya DSM imebadilika. Mass transit wanatarajia kubwa na barabara za kutoka chamazi, kuja gongo la Mboto na moja kwa moja mbezi luis,iko barabara ya goba, Tegeta Madale goba mpaka mbezi.. na light rail itakayotoka Mbezi beach kuja mbezi stand na kutoka Upande wa Gomsi kuja mbezi.. hilo lilikwisha fikiria..zamani na utekelezaji ushaanza kwa kujenga barabara.Sasa kwa muktadha huo, hata ilipokua ya zamani, bado kutakua kuna watu walilazimika kutembea umbali huo, hiyo BALANCING ni ngumu sana kuifanya. Hata kwa DSM pale Ubungo na kwa sasa Mbezi Louis(kuanzia 25.2.2021, kama taarifa zilizonukuliwa zitabaki hivyo), siyo watu wote wanaweza kufaidika na umbali. Mtu wa Chanika, Mbagala, Gezaulole, Kongowe, Toangoma, Kibada, wengi watatumia zaidi ya kilometa 30, 40 hadi 50 kufika Mbezi, wakati wenzao wa Kimara, Kinyerezi, Kibamba ni kuanzia 10km na pungufu ya hizo.
Mji wa watu milioni moja na nusu mpaka milioni 3 haupaswi juwa na radius ya zaidi ya km 10. Na kuna miji ina radius ya kilomita 14 laven belgium na ina population ya zaidi ya watu milioni 3 haina skyscrapers wala nn.. ni matumizi mazuri ya ardhi tu.Hapana mkuu, kwa mwenye kuwaza, kilometa 20 siyo mbali sana, ni kama mji wa Serikali na katikati ya Jiji la Dodoma au kutoka Posta hadi Mbezi Louis(23km)
Kwa mfano zamani niliona mbali sana kutoka kiwanda cha Dangote hadi mjini Mtwara(wastani wa 21km), lakini leo ni kawaida sana. Ili kutanua mji, ni bora kutapanya huduma maeneo ya mbali.
Leo huwez kuona mantik, lakini baada ya miaka kadhaa utakuja kuelewa. Niwaponheze pia Iringa kwa kuondoa ule msongamano na kuipeleka Igumbilo stendi yao(wastani wa 11km) kutoka mjini Iringa.
Ni kweli maeneo mengi iko hivyo, ila kwa Songea hapana imezidi kwa kweli. Bora hata wangeweka pale mshangano. Lakini kule shule ya tanga parefu sanaa.Ni changamoto maeneo mengi sana... Miji inapanuliwa bila umuhimu wowote..
Pia huyo huyo wa abiria wa ruhuwiko akiwa anatoka Dar, anatakiwa kushuka shule ya tanga then achukue piki piki had kwake. Tabu tupu yaaani.Shida mtu anae ishi ruhuwiko akitaka kusafiri kwenda dar anatakiwa alipe nauli asubuhi ya pikipiki 15000 ili afike stendi iliyopo shule ya tanga, maana stendi nyingine zote hawaruhusiwi kupakia
Hata km kutoka mjini hadi shule ya tanga ni mbali sana, bora stand ingebaki msamala, km haikuwezekan bas ingewekwa mshangano pale, sio kule mbali mno aaaah.Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Kwani hiyo 3 au 4k ni ndogo?Labda nikupe ushauli siku ukitaka kusafiri nenda alfajiri stend ya zamani hua kuna vigari vidodogo nauri 3000 mpaka 4000.
Ipi hiyo?Hivi ile hospitali ya Bombo bado ipo Songea?
Ni msamala, pale palishindwa kuboreshwa kwakua ni eneo la jeshi, na stand ilikua inajengwa mpya hii inayo jadiliwa hapa, ndo maana pale pako vile.hata sijui ndio huko.mana kuna magari mnayapanda ya hao jamaa super feo anawapa msaada mpaka stend huko mana ni mbal kwa mgen huwez kujua.sasa ili uwah lift hio lazima udamke pale saa kum usiku.kufika hio naambiw stend mpya asee ushuzi mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari kwa kweli, viongozi wao hawana muda wa kuangalia hiloSerikali inawatesa wasafiri stendi imewekwa mbali na mji last month nlisafiri huko mtu ukitoka mbinga unashuka mbali huko then uchukue daladala na asubuhi kwenda stand ni mbali bodaboda zinakimbizana hali inayopelekea kuhatarisha maisha ya abiria