Waziri Mkuu tembelea Mbagala biasi Temeke uone Manispaa ilivyoziba Mitaro ya Maji ya Mvua

Waziri Mkuu tembelea Mbagala biasi Temeke uone Manispaa ilivyoziba Mitaro ya Maji ya Mvua

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Katika hali ya kushangaza, wakati manispaa zinatakiwa zisafishe mitaro ya maji ya mvua, manispaa ya Temeke imeamua kuziba mitaro hiyo ya Mbagala Rangitatu Biasi ili maji yasambae barabarani!

Nini kitatokea wakati wa mvua za El Nino tusubiri tuone utafiti huu mpya.
 
Hawawezi kuiziba bila sababu. Hebu weka picha vinginevyo huu ni uzushi na majungu
 
Hawawezi kuiziba bila sababu. Hebu weka picha vinginevyo huu ni uzushi na majungu
Sababu ipo kama nilivyosema maji yasambae barabarani, mitaro lijengwa pande mbili za barabara ya Biasi ambayo ni barabara ya kwanza ya zege nchini, hawakuijenga mitaro hiyo kwa makosa.
 
Back
Top Bottom