Waziri Mkuu tumekuelewa, tutailinda amani ya nchi zaidi ya nyeti zetu

Waziri Mkuu tumekuelewa, tutailinda amani ya nchi zaidi ya nyeti zetu

nkoge

Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
53
Reaction score
90
Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba.

Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna faida yoyote tunayoweza kupata kwa hawa wanaharakati uchwara wanaotaka kutugombanisha wenyewe kwa wenyewe.

Sisi, amani ndiyo maendeleo, ndiyo shule, ndiyo biashara, ndiyo kilimo, ndiyo uvuvi na ndiyo biashara zetu. Bila amani hakuna tunachoweza kufanya. Tulijionea hayo mambo mwaka jana; wiki nzima hatukufanya shughuli za maendeleo na familia zilihitaji mahitaji ya kila siku.

TUMEKUELEWA, TUMEKUELEWA SANA BABA.
 
Kongole kwako mtoa mada. Hiyo mipumbavu inayokuja na matusi ipotezee, mimbe zao zilipatikana kwenye shule za mabweni wakati mama zao walipoenda kuokota mabaki ya ugali basi wanafunzi wakapita nao......hawana malezi Wala utaratibu ndo maana ipo hivyo.
 
wanapenda fujo,matusi na wanaeneza chuki kuliko kupambana na maisha yao binafsi.Watu waliopoteza mwelekeo na matumaini.Hawataki kujituma kufanya kazi,wanataka maisha yake Kwa miujiza
 
Back
Top Bottom