johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anawapenda wanachama wakeJe Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupunguza kasi ya maambukizi.Je Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa makanisa na misikiti hamuoni aibu mkatangaza kusitisha ibada zenu? Au ndio mnataka hadi serikali iwaambie fungeni nyumba zenu za ibada? Kupitia kauli hii ya waziri mkuu nadhani kama watu wazima mnaojali afya za watanzania na nyie pia, mnapaswa kujiongeza. Jiongezeni! | |
Kwahiyo wazazi waende wabebe ugonjwa wapeleke nyumbani kwa watoto na wafanyakazi waliobaki nyumbani? Kuombea taifa lipi sasa? Linaloenda kuambukizwa ibadani likaambukize nyumbani? Nini shida na hizi ibada? Tunataka kumfurahisha nani?