paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Ukiwa unaendesha familia yako halafu ukataka kuiga mtindo wa jirani yako anavyoongoza familia yake, ujue wewe ni kidume suruali,Roma na Maka wamesitisha ibada za mikusanyiko makanisani na misikitini lakini waswahili tunakomaa na kukusanyika. Mungu atunusuru.
kwamba ibada zikifanyika kwa mda mfupi ndo CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu Michelle tunaongozwa na watu wasio na maono kabisa yaani Mtoto asimuambukize mzazi Mzazi ruksa kumuambukiza Mtoto hii ni akili au matope?Kwahiyo wazazi waende wabebe ugonjwa wapeleke nyumbani kwa watoto na wafanyakazi waliobaki nyumbani? Kuombea taifa lipi sasa? Linaloenda kuambukizwa ibadani likaambukize nyumbani? Nini shida na hizi ibada? Tunataka kumfurahisha nani?
Nadhani kuna haja ya kuwakumbusha watanzania kuwa kila mmoja wetu ana ubongo na ufahamu wake mwenyewe. Kila mmoja atumie wake kufanya maamuzi binafsi.
Nimejiuliza Sana hili ... Inachukua Danika ngapi kuambukizanakwamba ibada zikifanyika kwa mda mfupi ndo CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu sisi tunafuata ushauri wa wanasayansi za jadi na dini.Anayepaswa kumlinda kiumbe aliyemleta duniani kwa maamuzi yake, anaelekezwa kumuangamiza kwa maamuzi ya viongozi.Wazazi mjue kwa watoto wenu nyie ndio mawaziri wakuu.Ndugu yangu Michelle tunaongozwa na watu wasio na maono kabisa yaani Mtoto asimuambukize mzazi Mzazi ruksa kumuambukiza Mtoto hii ni akili au matope?
Ndio ushangaekwamba ibada zikifanyika kwa mda mfupi ndo CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna faida yeyote yaani wazazi tusali halafu twende kuwaambukiza watoto wetu nyumbani. sikubaliani na waziri mkuu hata kidogo makanisa, miskiti, baa, masoko, minada, maeneo ya kubeti, vyote vingefungwa mala moja.
Kwani viongozi wa dini wamelazimisha watu waende nyumba za ibada? mtu anaenda mwenye kwa uamuzi wake,atakayeona akafanye ibada nyumbani hakuna shida maana hata viongozi nao ni waumini.
Tafadhali soma tena ujumbe wangu kwa makini kisha upeleke ujinga wako huko nyumbani kwenu ukautulize huko kimya. |
Ana nia njema tu ya kusaidia kupunguza maambukizi ndani na nje ya Dar! Hali ni mbaya hapa jijini!Je Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
..nadhani hatua tuliyochukua ni kunawa mikono tu.
Heri yako umeona kitu wengine bado vipofu!!Twende twende twende.
Hii imeonyesha wazi kuwa dini faida yake ni kustaarabisha jamii tu.
They can't do far from that.
Watu wa dini wangekuwa wanaweza kufanya zaidi ya hilo wasingepangiwa ratiba
Huyo Bibi Yuko very right kufanya hivyo. Viatu na miguu vinabeba wadudu Hawa, kwa hiyo kunahaja ya kusafisha miguu unapoingia ndani ya Nyuma, unaweza nawa mikono ukawa imeingia navyo vya miguuni.