Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Safari za mikoani zisitishwe turuhusu gari za mizigo tu,maana inaonekana watu tuliopo dar tunapeleka mikoani tusipokuwa makini tutaambukiza wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muonee huruma bibi wetu hajawahi ona maji yakitiririka kwenye bomba tangu tupate uhuru wa bendera Hapa kwanini asichanganyikiwe? Kwanza angalia bonge la sendozi la nguvu analo liosha kilemba cha kinaijeria alafu wewe unamwita mbishi!!!
Kwa sababu ya kuto kuelewa kwenu kama mnaakili mtajua hapa imetumika psychological prohibition.Ndugu yangu Michelle tunaongozwa na watu wasio na maono kabisa yaani Mtoto asimuambukize mzazi Mzazi ruksa kumuambukiza Mtoto hii ni akili au matope?
Hapa ndio kwenye tatizo. Wangetafuta njia mbadala ya kupata sadaka, kama MPESA etc
Who is Rome and Mecca? Je sio wanadamu kama sisi? Hii argument ya kitoto sana. Acheni kuwakuza as if wao ni miungu wadogo. Jenga hoja based on merits. Kwa hiyo Rome na Mecca wakiamua kuuza nchi zao na sisi tutafuata simply kwa sababu wao ni Mecca na Rome?
Ni ujinga uliotukuka kutotambua roma na meka katika habari za imaniWho is Rome and Mecca? Je sio wanadamu kama sisi? Hii argument ya kitoto sana. Acheni kuwakuza as if wao ni miungu wadogo. Jenga hoja based on merits. Kwa hiyo Rome na Mecca wakiamua kuuza nchi zao na sisi tutafuata simply kwa sababu wao ni Mecca na Rome?
Sio ujinga hata kidogo. Wanaoishi kule ni wanadamu wenye maamuzi huru. Sisi pia ni wanadamu wenye maamuzi huru. So tunapojadili mambo yetu hayapaswi kuwa remote controlled na Mecca, Medina, Vatican, au Jerusalem.Ni ujinga uliotukuka kutotambua roma na meka katika habari za imani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa zamani za kale wazee au wahenga wangesema kuwa hili ni janga na tufanye matambiko ili lituepuke lakini kizazi hiki cha technolojia na ukoloni hatuna hao watu tena badara yake tuna Dini za mapokeo ambazo kwetu sote tunaoamini kupitia hizo Dini za mapokeo tumeanishwa kuwa kupitia Misikiti na Makanisa ni sehemu ya kuomba msamaha na reheme ili tupate kuponywa na kubarikiwa.Kwahiyo wazazi waende wabebe ugonjwa wapeleke nyumbani kwa watoto na wafanyakazi waliobaki nyumbani? Kuombea taifa lipi sasa? Linaloenda kuambukizwa ibadani likaambukize nyumbani? Nini shida na hizi ibada? Tunataka kumfurahisha nani?
Kura za uchaguzi ndugu yanguKwahiyo wazazi waende wabebe ugonjwa wapeleke nyumbani kwa watoto na wafanyakazi waliobaki nyumbani? Kuombea taifa lipi sasa? Linaloenda kuambukizwa ibadani likaambukize nyumbani? Nini shida na hizi ibada? Tunataka kumfurahisha nani?
Kama Saudi Arabia na Vatican wameweza kufanya ibada majumbani sisi tuliopokea dini toka kwao tunashindwa nini? - JamiiForumsSio ujinga hata kidogo. Wanaoishi kule ni wanadamu wenye maamuzi huru. Sisi pia ni wanadamu wenye maamuzi huru. So tunapojadili mambo yetu hayapaswi kuwa remote controlled na Mecca, Medina, Vatican, au Jerusalem.
Kwasababu ninyi ni wajingaJe Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app