Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
johnthebaptist,
Hivi unaposema kuwa Ibada zifanyike tu kwa muda mfupi tena kwa Kuliombea Taifa kisha Watu watawanyike ina maana kwamba kwa muda huo huo mfupi hakutoweza kuwa na Maambukizi kama baina yao hao Waumini wapo ambao wameshapatwa na CORONA?
Kwani Serikali ikisema na Kuamrisha kutokuwepo na Ibada kwa sasa na Kusisitiza (Kuwaomba) Watu Waabudie wakiwa Makwao itachukiwa au itaongezewa Dhambi zake na Allah / Mwenyezi Mungu huko Mbinguni Kwake?
Kuna Kauli zingine za Kidhaifu mno na bahati mbaya zinatoka kwa wenye Dhamana kabisa Kimamlaka na Taifa.