Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine hayakwepeki!Kweli aisee
Tatizo ni kwamba magufuli anaogopa kutekeleza ushauri wa CDM na ACT kwa kuwa atwawapa credit
Tena Dar ndio kabisa watu wanaweza kupotea makanisani, na ili kukwepa aibu,watatangaza kusitisha ibada kabla ya kukumbwa na aibu ya kukutana na mabenchi badala ya waumini.Uzuri ni kuwa wabongo watajipiga lockdown wenyewe. Kama wiki hii watakaokuwa kwenye ibada labda wafuasi wa gwajiboy.
Huku mashahidi wa yehova wameji lockdown wenyewe(mbeya)Huwezi kufunga ibada ila sehemu za ibada tu kwani inada popote inafanyika hata majumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa dini ikiisha corona wataanza tena kutapeli watu kuwa wana Mungu anayeweza yoteSafi sana. Tunaambiwa siku zote msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Huu ndio UKWELI
Kule maeneo ya kujidai kuna ndugu kibao aisee!Sandenyi bulai umenikumbusha mabasi ya Andrea Mtangoo yaliyo kuwa yanakwenda Nala yalikuwa ya babu yako bulai?
Nimejiuliza Sana hili ... Inachukua Danika ngapi kuambukizana
Kumbe dawa ya corona ni kukusanyika kwa muda mfupi!
Bahati mvaya haianzi nao. Hii ni kuhatarisha maisha. Inaa maana dunia nzima hawamjui Mungu? Kwenye hiyo idadi iliyotajwa,kumbukeni wamekutana na watu wangapi?NAKWEDE,
Wanazingua sana... Lakini, ni tatizo letu Waafrika - wagumu kuelewa.