#COVID19 Waziri Mkuu: Tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake

Gwajima ndio mkweli.wengine ni wajasiliasayansi
No na gwajima. Sauti nyika
Huyu tu kaamua kamfunga paka kengere,uzuri Jiwe alitangulia kutuasa,Sasa wanaokuja na majibu mepesi inatupa shida.
 
ARV za Mzee Madabida zilikuwa zinatolewa na MSD....tulizika wengi sana na hatujasahau bado!
 
Huyu si ndio aliyesema nimeongea naye na anawasalimia sana, kwanini watu wakuamini muongo mkubwa wewe
 
Reactions: Qwy
yani leo hii mheshimiwa ndio wakisema maneno haya umesahau tulivyoishinda corona kwa maono ya rais magufuli tukautumia mizizi yetu na majani yetu kupona kweli watu ni wasahaulifu
 
Wewe corona ipo na watu wanakufa sana TZ, usiombe yakukute
 
Huu ugonjwa hapa tz umenyosha mikono. Jana nilimsikia mkuu wa mkoa anasema kupanda kwenye usafiri wa uma ni lazima uvae barakoa, sio hiari.
Cha ajabu leo nimepandia kituo cha mwendokasi morocco Kinondoni bila barakoa.
Nimeenda stand kuu ya mabasi ya mikoani Mbezi napo waliovaa wa kuhesabia.
Tumepanda basi tulivaa wanne tu badae na mimi nikavua na badae wakavua wote.
Hata humu njiani waliovaa ni wa kuhesabia, kwanza hata kwenye mabasi ya mikoani hakuna tahadhari kama zamani, ukitaka kujikinga jikinge wewe.
 
Unapoitangazia Dunia kuwa Kuna Corona,

Na kuanza kupunguza uhuru wa kufanya baadhi ya mambo jua Moja Kwa Moja uchumi utaathirika.

Kama uchumi uliathirika tukiwa corona free kwa sasa utadouble the effect.

Kwa maana movements za production zitapungua kwakua

1. Kuna ambao wataingia woga.

2. Masharti ya ugonjwa hayafanyi kuwe na uhuru katika uzalishaji.

Watalii nao watapungua.

Hivyo badala ya kuifungua nchi

Technically tunaifunga.
 
Katili huyu. Ndio master minds wa gemu unanoliona sasa hivi
Maneno mazito hayo.
Kwa maana hiyo kuna njama na hujuma zilizojificha au Umaster minds upi hasa na kwa faida ya nani alafu ili iweje?
 
Katili huyu. Ndio master minds wa gemu unanoliona sasa hivi
Maneno mazito hayo.
Kwa maana hiyo kuna njama na hujuma zilizojificha au Umaster minds upi hasa na kwa faida ya nani alafu ili iweje?
 
Asante mh.kwa kufahamu kuwa hiyo chanjo inalenga kuangamiza taifa! Thanx!
 
Huaminiki ,tangu useme JPM anachapa kazi majibu yakaja kinyume chake 🖐️

 
Mnafiki mkubwa huyu mzee juzi tu alikua anasema hakuna korona
 
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.
 
Maneno mazito hayo.
Kwa maana hiyo kuna njama na hujuma zilizojificha au Umaster minds upi hasa na kwa faida ya nani alafu ili iweje?
Katafute jamaa wa act aliyechukua fomu ZA ubunge jimbo la waziri mkuu alia
fanywaje.
Alitolewa kucha zote
 
Kwahiyo ulivua Barakoa yako coz uliona watu wengi tu hawajavaa Barakoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…