Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia.

Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana majeshi ya Russia baada ya majeshi yake ukijumlisha na raia wake kuzidiwa nguvu na majeshi ya Russia.

Waziri Mkuu huyo akaweka wazi kwa kufafanua kuwa hakuna uhalali wa kisheria wa raia wa Australia kusafiri kwenda kupigana nchini Ukraine.
======

Australians should not secretly travel to Ukraine to take up arms against the might of Russia's army, Australia's Prime Minister Scott Morrison has warned, after Ukraine's president put out a call to mobilise foreign fighters.

Mr Morrison today made clear the legality of people leaving for Ukraine to fight the Russian army was "unclear", while announcing Australia would provide lethal military equipment to Ukraine to help the Ukrainians resist the Russian invasion.
 
48CA055F-164A-4B98-A24F-3E0FA6D1A25E.jpeg
 
Kwa kweli, mmeanza kuokota vitaarifa visivyokuwa na maana.

Mlianza na Rais wa Ukraine hajulikani alipo, Mara Rais wa Ukraine awapigia simu Viongozi wa EU hawapokei.
Mara Rais wa Ukraine akataa kutoroshwa nje ya nchi.
Mara Kim anaandaa makombora.
Mara Putin aagiza nuclear ziaandaliwe.
Leo mmekuja na taarifa za Australia yakataza raia wake wasiende kwenye Vita na Urusi.
Kesho mtakuja na taarifa ya kwamba Rais wa Ukraine ashindwa kulenga shabaha vizuri.
 
Sijui unateseka ukiwa wapi mpenzi wangu njoo huku tule bata hali mbaya huko kila uchao rais wa ukraine analalamika kipigo na mayor wa Kiev kila uchao anasema hali mbaya mashambulizi ni makali kutoka majeshi ya Urusi sasa wewe upo tandahimba unashindilia ulaka na mabibo unabeua fermentation na ushuzi usiyoisha hadi nzi hawakuachii bado umekomaa kwamba kila taarifa inayoashiria ushindi kwa urusi unadhani ni batili kisa unalala kwenye net ya msaada kutoka USA?
 
Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia.

Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana majeshi ya Russia baada ya majeshi yake ukijumlisha na raia wake kuzidiwa nguvu na majeshi ya Russia.

Waziri Mkuu huyo akaweka wazi kwa kufafanua kuwa hakuna uhalali wa kisheria wa raia wa Australia kusafiri kwenda kupigana nchini Ukraine.
======

Australians should not secretly travel to Ukraine to take up arms against the might of Russia's army, Australia's Prime Minister Scott Morrison has warned, after Ukraine's president put out a call to mobilise foreign fighters.

Mr Morrison today made clear the legality of people leaving for Ukraine to fight the Russian army was "unclear", while announcing Australia would provide lethal military equipment to Ukraine to help the Ukrainians resist the Russian invasion.
Lazima awakataze maana inasemekana lile shambulio la Russia kwenye kambi ya jeshi kalibu na boda ya poland ambalo NATO walikuwa wanaitumia kama training camp na kupokelea siraha alilikupotiwa kwa ufasaha na media za mangalibi. Ni kwamba kuna uhalibifu mkubwa na mauwaji makubwa yalitokea
 
Back
Top Bottom