Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa TPLF kushindwa vita kwani mpaka sasa Maelfu ya wapiganaji wa TPLF wameanza kujisalimisha kwa vikosi vya serikali kuu.